Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,755
Hahahha bado anafanya mauzo, yule dada itakuwa kuna sehemu anataka kutokomea.Oya Saida said katuma uzii mwingine hukoo anauza mashuka. Unatuzingua tu huku.
Hahahha bado anafanya mauzo, yule dada itakuwa kuna sehemu anataka kutokomea.Oya Saida said katuma uzii mwingine hukoo anauza mashuka. Unatuzingua tu huku.
Mpaka hapa France anabebwa, huwezi kutoa penalt ya kijinga kwenye game kama hii
Na we we ulikuwa Croatia...inatakiwa mkapimwe mikojoHahaha mkuu umetisha aisee,, hajui anachokisema huyu
Kumbe nawe ume note hilo...utafikiri vi Techno...hahahhaha mi nlijua labda Iphone X huko...Hawa wachezaji bana visimu gani hivyo walivyonavyo
Dada vipi mbona unavamia visivyokuhusu?Punguza hasira....mnafungwa 4 af unadai unajua mpira...mnakimbia kimbia tu uwanjani na wazee wenu...kiufupi waliotarajia Croatia kushinda akli zao haziko sawa
Time has said it all.Hahah eti huenda. Lets wait and see
Mhhhh vipi utabiri mkuu?Bado siku nne mtanange uanze. Naona kama host team wataishi round ya kwanza.View attachment 799541
DEAD!! World cup haipo tena; itabidi tusibiri miaka minne mingine ijayo.Kwahiyo huu uzi umeshakufa?
Hilo lipo wazi kabisa nilishangaa watu wanategemea Croatia kushidaPunguza hasira....mnafungwa 4 af unadai unajua mpira...mnakimbia kimbia tu uwanjani na wazee wenu...kiufupi waliotarajia Croatia kushinda akli zao haziko sawa