Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

ahahaha! mradi Israel yupo upande wetu, Russia ni mwepesi mno.
Hapa duniani Hamna Taifa la kupigana na Murusi,Taifa kwa Taifa.Hata huyo USA hana uwezo wa kupigana na Mrusi akiwa Mwenyewe atatafuta Mshirika lakini Urusi anauwezo wa kupigana na Taifa lolote akiwa Mwenyewe.
Mungu si Athumani,Alipo lipa Taifa Moja Nguvu za kiuchumi,amelipa Taifa lingine nguvu za Kijeshi Isingekuwa hivyo USA angekuwa na vyote angenyanyasa sana huu ulimwengu.
 
ilikuwa je hata USSR ikaanguka?
 
Na vita haitaki masikini jeuri.....kwa kuwa ujeuri hauwezi kukufanya ukashinda vita......bali gharama za kugharamia mapigano....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] et masikini jeuri, watu mna maneno[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu ndo unavyojidanganya?
 
Eti wamatumbi tunachukua sides....eti israel yuko upande wetu...eti urusi yuko upande wetu oooh mara eti marekani chapa hao....ni nani aliyekutia chapa kwamba wewe uko upande wa fulan na fulani si upande wako?! Hiv ni kweli hakuna aliyeelewa somo hapa?! Tizama libya...iraq....tizama mayalivofanyika huko america ya kusini...eeh...mmatumbi huna side hapa....ni victims tu...kama walivo wenginee....hiz vita hazina maslah yyte kwa raia wapenda amani....zina faida kwa mabepari....!

Sisi tuombe nusra tu....otherwise kujaribu kuchukua sides ni sawa na kujaribu kujifunza ushoga.
 
Kweli hao wanaongea mahaba ya kibongo, hawana fact
 
Bora aise hata ikiwezekana wapige nuclear bomb tufe wote duniani, hadi viongozi wote tz. Dunia ianze upya labda itakua dunia nyingine isiyo na manyanyaso kutoka kwa watawala


Haha, nimecheka humu ndani kama mazuri, wenye kuomba wameomba na wenye kulaani wamelaani..
Not to this extent tho..🙂
 
Russia habari nyingine mziki wake sio wa mchezo mchezo kwanza ni watu wanaopenda vita hakuna duniani sikieni tu hao watu jamani
 
Reactions: MC7
ilikuwa je hata USSR ikaanguka?
najua unataka kusema ni USA, but USA walitake advantage tu ya internal conflict iliyotokea ndani ya Urusi kwa Kipindi hicho.Kama wewe ni msomaji wa vitu utakuwa unalielewa hili.
Hata hivyo duniani Nothing last forever Kabla ya Urusi kuwa kiranja wa dunia,huko Nyuma kulikuwepo Empire zingine pia ambazo zilisha wahi tawala dunia-nadhani hili nalo unalitambua.Hivyo kwa sasa ni zamu ya USA ipo siku naye ataanguka kama wengine walivyo anguka.

Pia lazima Ujue moja ya sababu ambazo zinafanya USA hawezi kuja kupigana na Mrusi ni huo u Supuer power,maana siku Akipigana na Mrusi anajua kuwa fika ndio Mwisho wa U super power wake kama kiranja wa dunia hilo halina ubishi hata USA analitambua.Usije ukaniuliza kwa nini sababu sote tunajua wapo watakao faidika akiwemo china hasa akiamua asijiingize.
 
Reactions: MC7
kwa marekani kuanguka lazima kwanza ianguke Israel. kama Urusi ana ubavu akaanzie Jerusalem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…