Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

wafike wapambane sasa, hatutaki kusikia story nyingine, make US keshashambulia bila shaka russia nae anaenda kukidestroy kile chombo kilicholauch yale mashambulizi
Thubutuu...
 
trump kanidissapoint.. niliamini sana ahadi zake kipindi cha kampeni.. kweli amerika ni ile ile
 
Long live Israel. Bwana Mungu wa Yakobo akiwa upande wako, nani wa kushindana nawe? Na ameapa hatokuacha kamwe sawa sawa na Neno lake. Mwisho unajulikana kabla ya mwanz haujawepo.. Bwana jina lako libarikiwe. Amen.
Bibilia haipaswi kutafsiliwa kwa namna unayoisema wewe.
 
Hapo ndiyo itakuwa mwisho wa Marekani, maana ana maadui wengi Russia,North Korea, Iran na China pia hawa wote watamchapa kupitia Syria.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhana ngoja tuuone huo mwisho.
 
Si walisema wana mitambo mikali ya kulinda anga S-400, mbona haijazuia, usicheze na USA, Tomahawk cruise missiles, makombora 60 yametua Syria.!!!
 
Si walisema wana mitambo mikali ya kulinda anga S-400, mbona haijazuia, usicheze na USA, Tomahawk cruise missiles, makombora 60 yametua Syria.!!!
 
Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesa
Mbona USA ilifeli vita ya Ghuba na Vietnam?
Wamefanikiwa Irak,walisema watamuindoa Sadam Hussein madarakani, na alinyongwa, na mafuta wanagema kama kawaida.
 
Waseng*! Kwann wasiende kupigania marekan au huko urusi??.....
 
U won't enjoy the show my brother,u will also be a victim coz this war might even reach to African countries.we need to pray so that this miss understandanding can be peacefully resolved.u won't enjoy the show brother
That's just a chess game my brother... Unafikiri watatwangana?? Hell no, watarudi kwenye round table na negotiations zitakuwa zile zile. Sanasana atakayeendelea kuumia ni Syria. Just wait and see...
 
Acheni woga nyie,russia hamna kitu na hana uwezo wa kufanya lolote lile.akileta ujinga nae atatandikwa tu na atakaa kimyaaaa.
 
Mikwara ya Put in imeshaanza.....
duh ubabe juu ya ubabe
Muacheni urusi na putin walete pua zao tu,atachapwa na hatafanya lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…