mluga
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 676
- 215
Hebu tazama na kusikiliza vizuri hiyo press conf,. hivi unakumbuka Gen Collin Powell? ndo haya yanakuja, Marekani angekuwa anacho kidhibiti tayari angekuwa ameunguruma, hii imetolewa chambo ili kupata nafasi kumtenga mrusi, ili waikamate Ukraine na pia kwa Urusi kumpa hifadhi Snowden.....unajua nini Mkuu....kuwepo kwa jet fighters za Ukraine is one thing na kutungua ndege ya abiria is another....no doubt ndege za Ukraine zinaweza kuwa zilikuwepo.......the question remains nani katungua ndege ya abiria?......maswali yaliyoulizwa hapo juu yanaleta utata mwingi zaidi.......
Hivi, hawa 300, maisha yao yana thamani kuliko watoto wa ki Palestina? why media za west, wala hazizungumzii, kimia na nchi za kiaarabu kimia, wanakunywa kahawa tu.