Siyo rahisi kufahamu ukweli. Remembar Saddam Hussein was supposed to have gassed the Kurds. Well,it was Mossad who did it.
Huu ni mpango wa illuminat kwaajili ya mkakati wao (NWO)
Only Russians need to do is to prove their point......not just saying it.......why it took them so long to proclaim what they claim to know?......
Nilishasema tangia mapema, marekani ilikuwa inatafuta sapoti na sababu za kuishambulia Russia sasa ishu inakuwa ngumu kwani ushahidi wa kuungaunga hauna tija katika kui envolve urusi na shambulio hilo. Maana walimsingizia Sadam eti ana WMD wakaangamiza nchi ujanja huo huo wanataka kuutumia kwa Urusi lakini kazi wanayo.
Hivi you think viongozi wa Russia ni kama wa kwetu wenye fun answers to everything?Tusiwe wajinga, Urusi alikuwa wapi muda wote huo hadi leo kama sio kupika hizi data zake