Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,436
- 5,124
Si ndiyi hapo nyumba ya vioo unataka ugomvi wa mawe.Unatafuta vita halafu unamchagulia adui silaha๐๐๐ nafikiri kichaa wa kwanza utakuwa ni wewe mkuu
Uko sahihi, kwenye vita silaha yoyote inatumika.Unatafuta vita halafu unamchagulia adui silaha๐๐๐ nafikiri kichaa wa kwanza utakuwa ni wewe mkuu
Yan tupigane nikushinde uende kuchoma nyumba yangu we so mwanaumeUnatafuta vita halafu unamchagulia adui silaha๐๐๐ nafikiri kichaa wa kwanza utakuwa ni wewe mkuu
Lini vile alisema huyo waziri? Tufahamishe source mkuu nasi tupitie tujue jinsi alivyo hovyo Mrusi.Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Ukimshinda mtu maana yake umechukua nguvu yake kimabavu. Umemdhoofisha tayari sasa mtu huyo anachomaje nyumba yako? Means hujamshinda bado.Yan tupigane nikushinde uende kuchoma nyumba yangu we so mwanaume
Ukrein wameshinda wpi mji up uliochukiliwa uliridishwa kiazi kabisaYan tupigane nikushinde uende kuchoma nyumba yangu we so mwanaume
Mrusi kschokozwa na nani kwenye vita ya Ukraine? Si wehu wake tu eti ohh sitaki Ukraine ijiunge NATONa kwa nini uwachokoze kama huyataki yote!
Ndio wale ngumi zikikolea akipigwa kitofa analia lia eti mbona unatumia mawe๐๐๐Uko sahihi, kwenye vita silaha yoyote inatumika.
Mbona Tanzania ni nchi huru ila mnalazimishwa mfiruney kwa kutumia KY toka Marekani ili mpewe hela za mkopo? Mbona hilo huwa hamlikatai ๐๐๐Mrusi kschokozwa na nani kwenye vita ya Ukraine? Si wehu wake tu eti ohh sitaki Ukraine ijiunge NATO
Ukraine nchi huru utaipangiaje mambo yake?
Wanajificha nyuma ya raia halafu wanalalamika kwanini wanapigwa mabomu wakiwa kwenye majengo๐Hio ni Urban Warfare
Ni 3x complicated kuliko Battles za misituni za Rambo
Ni ngumu zaidi kama adui yako kajificha kati kati ya Raia, ndani ya hospital au mashule.
Jeshi pekee lenye uzoefu na aina hizi za Combat ni la Russia pekee.
Urusi hana muda mrefu anaanguka.Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Swali zuri.Na kwa nini uwachokoze kama huyataki yote!