Tanzania iweke maslahi yake mbele. Hawa wote yaani Wamarekani, Warusi, Wachina, Wafaransa n.k ni watu watu wa maslahi tu hawana maana.
Hapa hakuna kuangalia maslahi ya Tanzania wala umaskini wake bali ya uislam tu, hizi ni njama za kuipatia Iran uranium kiulaini ili ifanikiwe kupata bomu la kuiondolea Israel kwenye uso wa dunia.
Warusi wanawapa technology ya nyukilia waIran na kuwakingia kifua wanapobanwa na international community juu ya dhamira yao ya kumilki bomu la nyukilia. Wairan wanahaha duniani kote kutafuta uranium sasa wametua ndani ya bongo kupitia wafadhili wao warussia na mkono wa mwiran mtanzania hewa RA.
Response ya Marekani haitakuwa ya nguvu kwa sababu Obama ni anti west na rafiki wa wakommunist na waislam kama siyo mwislam yeye mwenyewe.