Russia imetoa onyo kwa ECOWAS, isithubutu kuivamia Niger kijeshi

Kwa wale wasiojua,Hali hii sio mpya kama Russia itachagua upande mmoja dhidi ya West.
Kwa historia huko nyuma Namibia na Angola walikua wakiungwa mkono na Russia USSR katika vita zao.
Namibia ikiwa inapigana uhuru wake,na Angola ikiwa inapigana na waasi wa UNITA chini ya uongozi wa Jonas Savinbi.
Wakati huo Makaburu walikua wanaikalia kimabavu Namibia wakiungwa mkono na west.
Pia waasi wa Angola akina Savinbi walikua wanataka kujitenga na UNITA yake wakiungwa mkono na west.USA akiwa kinara.
Lakini hakuna shaka wote TU mashahidi Namibia ilipata uhuru wake na UNITA ilishindwa kupata kile ilichokua ikikipigania.

Kwa walie msiojua pia, Hali kama hii ilitokea huko Syria waasi wakiungwa mkono na west na vinara wa west wakiwa ni France,UsA na UK ,Israel na baadhi ya waarabu na hata genge hatari la kigaidi la ISIS.
Waasi walitaka kumtoab Assad wa Syria madaraka.
Lkini Urusi peke yake ikisaidiwa na Iran waliweza kuwazuia waasi na west wasimtoe Assad,na Hadi Sasa Assad ndio Rais wa Syria.

Ndugu zangu wala tusiende mbali USA ikishirikiana na UK na baadhi ya nchi hasimu,walishapanga kumuondoa Maduro madarakani,lkni wote TU mashahidi Maduro bado yupo madarakani.

Mahala akiwepo Urusi west huishi kwa shida sana.😀😀😀
Thesis yako ina walakini mkubwa sana; inaelekea hujui kuwa Urusi siyo USSR
 
Dah. Sa itakuaje?

image001.png
 
Russia alihusika kupandikiza ujamaa Dunia nzima na aliweza na sehemu alizoingia akakuta ubepari wa Marekani nchi iligawanyika , mfano Korea na Vietnam

Na pote alishinda
na Putin alikuwa mstari wa mbele siku si nyingi kuna kitu kinakuja kutokea,
ndiyo mana mwingereza kaanza kutaka kumiliki bandari zake africa mashariki
 
Kiingereza hujui usijifanye akili kubwa wakati wewe akili ndogo.

Bye bye wananzengo JF logging out for good kumbe kumejaa watu kama hawa humu Jf

Aya wewe mwenye akili kubwa, sasa unalia lia nini hapa. Hio English yako ya kukariri umejifunzia wapi?
IMG_2352.jpg

Unajuaaa maana ya hio statement?? Au ulitaka Russia waseme tutailinda Niger?. Wewe na Mwalimu wako inatakiwa mchapwe fimbo
 
Kwa wale wasiojua,Hali hii sio mpya kama Russia itachagua upande mmoja dhidi ya West.
Kwa historia huko nyuma Namibia na Angola walikua wakiungwa mkono na Russia USSR katika vita zao.
Namibia ikiwa inapigana uhuru wake,na Angola ikiwa inapigana na waasi wa UNITA chini ya uongozi wa Jonas Savinbi.
Wakati huo Makaburu walikua wanaikalia kimabavu Namibia wakiungwa mkono na west.
Pia waasi wa Angola akina Savinbi walikua wanataka kujitenga na UNITA yake wakiungwa mkono na west.USA akiwa kinara.
Lakini hakuna shaka wote TU mashahidi Namibia ilipata uhuru wake na UNITA ilishindwa kupata kile ilichokua ikikipigania.

Kwa walie msiojua pia, Hali kama hii ilitokea huko Syria waasi wakiungwa mkono na west na vinara wa west wakiwa ni France,UsA na UK ,Israel na baadhi ya waarabu na hata genge hatari la kigaidi la ISIS.
Waasi walitaka kumtoab Assad wa Syria madaraka.
Lkini Urusi peke yake ikisaidiwa na Iran waliweza kuwazuia waasi na west wasimtoe Assad,na Hadi Sasa Assad ndio Rais wa Syria.

Ndugu zangu wala tusiende mbali USA ikishirikiana na UK na baadhi ya nchi hasimu,walishapanga kumuondoa Maduro madarakani,lkni wote TU mashahidi Maduro bado yupo madarakani.

Mahala akiwepo Urusi west huishi kwa shida sana.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa nini Urusi ilishindwa kumlinda na kuzuia waasi wasimuondoe Gaddafi aliyekuwa mteja wao mkubwa zaidi wa silaha barani Africa??
 
Kwa wale wasiojua,Hali hii sio mpya kama Russia itachagua upande mmoja dhidi ya West.
Kwa historia huko nyuma Namibia na Angola walikua wakiungwa mkono na Russia USSR katika vita zao.
Namibia ikiwa inapigana uhuru wake,na Angola ikiwa inapigana na waasi wa UNITA chini ya uongozi wa Jonas Savinbi.
Wakati huo Makaburu walikua wanaikalia kimabavu Namibia wakiungwa mkono na west.
Pia waasi wa Angola akina Savinbi walikua wanataka kujitenga na UNITA yake wakiungwa mkono na west.USA akiwa kinara.
Lakini hakuna shaka wote TU mashahidi Namibia ilipata uhuru wake na UNITA ilishindwa kupata kile ilichokua ikikipigania.

Kwa walie msiojua pia, Hali kama hii ilitokea huko Syria waasi wakiungwa mkono na west na vinara wa west wakiwa ni France,UsA na UK ,Israel na baadhi ya waarabu na hata genge hatari la kigaidi la ISIS.
Waasi walitaka kumtoab Assad wa Syria madaraka.
Lkini Urusi peke yake ikisaidiwa na Iran waliweza kuwazuia waasi na west wasimtoe Assad,na Hadi Sasa Assad ndio Rais wa Syria.

Ndugu zangu wala tusiende mbali USA ikishirikiana na UK na baadhi ya nchi hasimu,walishapanga kumuondoa Maduro madarakani,lkni wote TU mashahidi Maduro bado yupo madarakani.

Mahala akiwepo Urusi west huishi kwa shida sana.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa nini Urusi na serikali ya Kikomunisti walishindwa vibaya na Mujahideen wa Afghanistan mwaka 1989?
 
Russia has warned that military intervention in Niger would lead to a "protracted confrontation" after regional bloc Ecowas said it would assemble a standby force.

Such an intervention would destabilise the Sahel region as a whole, the Russian foreign ministry said.

Russia does not formally back the coup.
But the US, which backs efforts to restore deposed leader Mohamed Bazoum, says its Wagner mercenary group is taking advantage of the instability.

Hayo maneno hapo juu niliyo bold yana maana gani?
Jifunze kuwa na akili hata kidogo basi. Soma kichwa cha habari na ulichonukuu hapo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom