bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,328
Vita vya Mrusi na USA ni vya enzi
Russia Yuko Syria au umesahau.Russia hawezi kucheza Ukraine na Ecowas... kuna mahali patamshinda
Hujui kingereza au unapotosha kwa makusudi. Hayo maneno ya kichwa cha mada ni yako wewe hayapo hapo chini kwenye lugha ya kiingereza kama unavyotaka wana jf wakuelewe na jf kama ndio imajaa watu kama nyie basi bora leo ndio iwe mwisho wa mimi kuwepo humu yaani ni competely BS.
Vita vya Mrusi na USA ni vya enzi
🤨Kwa wale wasiojua,Hali hii sio mpya kama Russia itachagua upande mmoja dhidi ya West.
Kwa historia huko nyuma Namibia na Angola walikua wakiungwa mkono na Russia USSR katika vita zao.
Namibia ikiwa inapigana uhuru wake,na Angola ikiwa inapigana na waasi wa UNITA chini ya uongozi wa Jonas Savinbi.
Wakati huo Makaburu walikua wanaikalia kimabavu Namibia wakiungwa mkono na west.
Pia waasi wa Angola akina Savinbi walikua wanataka kujitenga na UNITA yake wakiungwa mkono na west.USA akiwa kinara.
Lakini hakuna shaka wote TU mashahidi Namibia ilipata uhuru wake na UNITA ilishindwa kupata kile ilichokua ikikipigania.
Kwa walie msiojua pia, Hali kama hii ilitokea huko Syria waasi wakiungwa mkono na west na vinara wa west wakiwa ni France,UsA na UK ,Israel na baadhi ya waarabu na hata genge hatari la kigaidi la ISIS.
Waasi walitaka kumtoab Assad wa Syria madaraka.
Lkini Urusi peke yake ikisaidiwa na Iran waliweza kuwazuia waasi na west wasimtoe Assad,na Hadi Sasa Assad ndio Rais wa Syria.
Ndugu zangu wala tusiende mbali USA ikishirikiana na UK na baadhi ya nchi hasimu,walishapanga kumuondoa Maduro madarakani,lkni wote TU mashahidi Maduro bado yupo madarakani.
Mahala akiwepo Urusi west huishi kwa shida sana.😀😀😀
MtajeKuna mmoja anakimbiaga lakini
Kiingereza hujui usijifanye akili kubwa wakati wewe akili ndogo.Tulia sindano iingie tafuta source zingine usitegemee BBC wakupe ukweli “Dickhead”
Lakini akati tamaa Kama kibakaKuna mmoja anakimbiaga lakini
URAAAAAAAAAAAAAAAAAAAARUSSIA TAIFA TEULE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunasubiri ECOWAS na shoga zake US & France watafanya nini. Kwa historia niliyonayo US anakimbiaga akisikia kuna Russia watahusika, ngoja tuone [emoji23]
Siyo Urusi hii, hata ujamaa umejifika kifo cha mende.Russia alihusika kupandikiza ujamaa Dunia nzima na aliweza na sehemu alizoingia akakuta ubepari wa Marekani nchi iligawanyika , mfano Korea na Vietnam
Na pote alishinda
Mwenyewe nimeshangaa vile mtoa mada kaweza kukota kundi kubwa la watu hapo JF,licha ya kuwa alichoeleza kwa Kiswahili kinakinzana na maelezo ya Kiingereza aliyoambatanisha.Kiingereza hujui usijifanye akili kubwa wakati wewe akili ndogo.
Bye bye wananzengo JF logging out for good kumbe kumejaa watu kama hawa humu Jf
Russia has warned that military intervention in Niger would lead to a "protracted confrontation" after regional bloc Ecowas said it would assemble a standby force.Mwenyewe nimeshangaa vile mtoa mada kaweza kukota kundi kubwa la watu hapo JF,licha ya kuwa alichoeleza kwa Kiswahili kinakinzana na maelezo ya Kiingereza aliyoambatanisha.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Tutaona sasa kama hatoiweza.Russia ya kwake na Ukraine yamemdodea ndio ataweza ya Afrika? Apambane na hali yake