911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,265
aissee!The Five Eyes (FVEY) muunganiko wa mashirika ya ujasusi (Australia, Canada, New Zealand, UK na USA).
Ingawa hii 5 eyes inaweza tanuka hata kufika 20 Eyes kutegemea na threat zilizopo, lakini bado watu wanaobaki muhimu ni hawa watano tu, Ufaransa alitaka akijiunga apewe access zote wakamgomea.
Ila ndani ya hii 5 eyes taarifa zote za kijasusi zinakuwa shared, CIA wanaweza access database za SIS/MI6 na wao database zao zinaweza kuwa accessed na wenzao pia.
Kwa mfano Tz tungekuwa ndani yake huu mkataba basi TISS wangeweza tumia taarifa za CIA kumfatilia mtu yoyote wanayemuona ni hatari kwa usalama wa taifa then wazee wa CIA wanamteka akakabidhiwa kwa TISS wao watajua wanamfanya nini.
Ndio kilichotokea kwa ghadafi walimpa access kuwafatilia wabaya wake na yeye akawapa access kufungua black sites nchini mwake!.
Aliyotoa Ed Snowden ni madogo sana zaidi ya yanayofanyika kwenye 5 Eyes!.