‘Rushwa ya ngono inatumika kupata ubunge’

‘Rushwa ya ngono inatumika kupata ubunge’

Je hawa wawili, Hilda Nngoye na Beatrice Shellukindo wana moral authority gani ya kuwanyooshea vidole wenzao kuwa wanapata ubunge kwa kuhonga miili yao wakati wao wenyewe historia yao ya huko nyuma ni utata mtupu? Tofauti ya wao na hawa wa leo ni kwamba wao sasa ni wazee na hawana mvuto wakati wasasa ni vijana wanaovaa vikuku!!
 
Kama habari imeshaletwa tayari hakuna haja ya kurudia kuiposti tena. Inaifanya server ya JF iwe busy bila sababu.
 
Waacheni wenzenu waliwe matunda yao, nyie si mnabana ya kwenu.
 
Dah kuna wengine wamekosa na utamu wanaendelea kuutoa! yule wa mkulima paaaaleeeeee jimbo la kawe chali.....mjini shule!
 
wamuulize Vick Kamata kapataje ubunge ndo watajua sehemu iliyotuleta duniani inaleta ubune au haileti ..mshanifahamu nyie
 
Kuna mmoja katoa rushwa ya ngono, akaajiriwa BOT then akapewa ubunge wa viti maalumu kisha mjomba wake akapewa ukuu wa mkoa. Hapo patamu

Yule mdada, mwanamuziki kutoka Mwanza?
Hivi alitoaga hiyo rushwa kwa nani vile? Kumbukumbu imenitoka kidogo, nisaidie plz.
 
Tunataka Maoni mbadala kutoka kwa Wabunge wa Vitu Maalum
 
. "Alichokisema Ngoye ni sahihi kabisa, rushwa ya ngono ipo hata kwa wabunge.
Wakati huo huo, baadhi ya wabunge wanaounda kamati hiyo wamewataka wanafunzi wanaoombwa rushwa ya ngono kutoa taarifa kwa maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili wahusika wakamatwe na kushitakiwa, kwa sababu kitendo hicho, licha ya kuwa kosa la jinai, kinatumiwa na wengi kusambaza VVU.
CHANZO: Gazeti la Habari Leo

Charity begins at home, kwanini kwanza wasiwaombe wabunge wenzao wa viti maalumu wanatoa rushwa ngono kupata ubunge, kureport TAKUKURU kabla ya kurukia wanafunzi? Au huko kwenye ubunge wa viti maalumu rushwa ngono imekubaliwa kama TAKRIMA.
 
taabu ni pale unapo toa hiyp rushwa harafu unakosa na huo ubunge
 
Vick Kamata anauzoefu sana na hili..mtafuteni!!
 
Hii rushwa ya ngono itakua mbaya tu iwapo mtoa rushwa atakua hajui analofanya. lakin kama zilivyo rushwa za pesa, ni vigumu kutoa uroda wakati hujui watoa kwa sababu gani.
chamsingi, awe na vigezo vya kufanya kazi kwa sababu tunachotaka ni ufanisi. hilo la rushwa ya ngono ukiingia kazini
ukawa hutupatii expected out put tutakufukuza instantly
 
taabu ni pale unapo toa hiyp rushwa harafu unakosa na huo ubunge

Kuna mlolongo wa watu wanaohusika katika kufanikisha akina dada kupata hivi viti maalum. Sasa kwa staili hii maana yake huwa wanajiruhusu kutumiwa kama jamvi hata kwa wenye makengeza? Ngono sasa ni kigezo cha wakuu wetu kuwapandisha akina dada kuingia baraza za kutunga sheria? Ndio maana mambo yanayohusu ufuska wabunge hawaombi miongozo kwa speaker.

Futa kabisa hizi nafasi za upendeleo wa kubebana, bora tubuni njia bora zaidi. Bora ya kupita bila kupingwa kuliko hii ya kuingia bungeni kwa hongo ya akina dada kuliwa uroda.
 
Kama ni kweli,basi Tanzania iko mbali sana na utawala wa Demokrasia. Hakuna demokrasia kabisaa.. Ni idea nzuri lakini kama unapromote rushwa, uangaliwe upya. Tutatafuta njia nyingine ya kuujaza ukumbi wa Bunge,la sivyo ukodishwe uwe wa mikutano.. Tuiangalie Tanzania kivingine sasa jamani!
 
Back
Top Bottom