Mwitongo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2009
- 312
- 362
Ndugu zangu, trafiki kutoka Kituo cha Kwa Yusuf, na wakati mwingine Kibaha, kila siku yanapotoka maji hapa Kibamba Hospitali. Maji hutoka Jumapili na JUmatano. Hivi leo ni Jumatano,kuanzia sasa hivi wapo hapa wamejaa tele. Kila gari la maji wanachukua Sh 2,000. Kwa siku mapato yao yanazidi Sh milioni 1.5. Hii rushwa inatisha. Madereva wanalia, lakini hawana ujasiri wa kulisema hili. Hapa nawekeamo ka-picha muone mchongo unaofanywa na hawa trafiki.