RUSHWA SERKALINI

RUSHWA SERKALINI

zzecaere

Senior Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
143
Reaction score
130
Habali za mihangaiko wakuu. Kumekuwa Na tatizo la ajira tangu 2016 Na kila zikitolewa ni za mafungu vijana tunajikunja kutuma maombi lakini wahitaji wanachaguliwa wachache ,nlishitushwa Na wimbi kubwa la watu waliodawload vyeti vya fani Na kukuta wamekuwa kwenye list ya waliopangiwa vituo nkata taka kujua ,wamepata wapi uthubutu huo kuja kujua walito mpunga kupata ajira.
 
Ukikomaa vizuri upstairs utaelewa dogo, endelea kutuma applications tu kwanza usichoke.
 
Back
Top Bottom