Rushwa, Rafu zilivyowanyima haki CHADEMA Nachingwea kura za maoni

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,939
594
Kama hadithi fulani tamu lakini ndo ishatokea.Hapa Nachingwea Rushwa Chadema kama ccm tu. Wakati watia nia 5 waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho awali kabisa katibu wa wilaya ndg. NAKANYOMWA aliwaambia watia nia hao kwamba kati ya kata 34 za jimbo hilo, ni kata 22 tu ndo zinauongozi na wajumbe kamili wa mkutano maalaumu wakura zamaoni. NAKANYOMWA aliwataka watiania hao kujinadi kata 22 tu ambazo zinauongozi na kweli watiania walijinadi kama walivyoelekezwa.

Ikafika wakati wakuchukua fomu nakanyomwa akawaambia watiania muda wakujinadi kwa wananchi umeisha. Watiania wakatii maagizo ya kiongozi wao. Kumbe katibu huyo wa wilaya analake jambo. Kwa siri akawa anaendelea kumnadi mgombea anaemtaka yeye.

Kwa siri na kinyume na katiba ya Chadema NAKANYOMWA akishirikiana na mwkt.wa kijiji cha Stesheni kijiji anachotoka mbunge wa sasa Mathias chikawe, pia akishirikiana na red brigedi ndg. Tabata wakaunda uongozi kwa SIRI wiki moja kabla ya kura za maoni kwenye kata 12 ambazo awali hakukuwa na uongozi.

Wakamchukua mtia nia mmoja kumna hizo kata 12 huku watiania wengine wakinyimwa fursa kujinadi kata hizo. Wakachagua viongozi feki 9 ktk kata 12 na kujihakikishia kura 118 kabla ya uchaguzi kwa ya mtiania anayemtaka bwana NAKANYOMWA.
Kwa tafsiri nyingine kwamba mshindi alikuwa tayari anakura 118 kabla ya uchaguzi.

Siku yakura zamaoni ilipofika watia nia wote wakachanga pesa za kusafirisha wapiga kura wa vijijini lakini bwana NAKANYOMWA akishirikiana na bwana Lijawa na Tabata wakatoa luga ya vitisho kwa wapiga kura kwamba nagari hayo yameletwa na Mmoto hivyo wamchague Mmoto.

Hii kampeni chafu na dhuluma kwa watiania walioshindwa uchaguzi. Ndani ya fuso zilizobeba wapigakura NAKANYOMWA aliweka mamluki wakugawa pesa kwa wapiga kura. Pia ndani ya UKUMBI kulikamatwa vipeperushi vikisambazwa kwa wapigakura vikihamasisha kumchagua Mmoto.

Hatimae Mmoto akatangazwa mshindi kwa dhuluma.
 
Kumbe na nyie wale wale!! Ndio maana mnataka kupokea hata wasiopokeleka hata motoni nini mbinguni!!!
 
Sasa Namtumba kwanini haya hujayaeleza huko CDM.Huku siko unayokesi ya kuwachukulia hatua lakini je huku JF itafanikiwa?

Rudi nyuma uone kama ni sahihi.Lakinininajua hilo jimbo kulipata labda Chikawe asigombee.
 
Amekuja kupumua huku baada yamkunyimwa nafasi hiyo huko Nachingwea
 
Siasa loh wachantangaze injili mie sikuyamwisho Mungu anikumbuke
 
Sasa Namtumba kwanini haya hujayaeleza huko CDM.Huku siko unayokesi ya kuwachukulia hatua lakini je huku JF itafanikiwa?

Rudi nyuma uone kama ni sahihi.Lakinininajua hilo jimbo kulipata labda Chikawe asigombee.

Aisee hiki chama kimekua sana mpaka nasikia rahaaaaa
 
Amekuja kupumua huku baada yamkunyimwa nafasi hiyo huko Nachingwea

Amenyimwa CDM au CCM?Ninafahamu namna Chikawe alivyolipeleka jimbo hilo hivyo ni vigumu sana hata CCM wenyewe kushinda against Chikawe.Nililiona jimbo hilo kabla ya Chikawe na baada ya Chikawe.

Lizaboni pale pa kusifia ni wajibu kusifia,pale pakuelimisha ni wanibu wetu pia.
 
Mleta mada kajitahidi kuelezea anachohisi kimetokea lakini inaonekana yeye pia hana uhakika kama kuna rusha au upendeleo.Nahisi tungepata mdau mwingina kutokana huko Nachingwea tusikia Mawazo yake nasitutajua ukweli ili isijekuwa siasa za kuchafuana tu.
 
Kama hadithi fulani tamu lakini ndo ishatokea.Hapa Nachingwea Rushwa Chadema kama ccm tu. Wakati watia nia 5 waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho awali kabisa katibu wa wilaya ndg. NAKANYOMWA aliwaambia watia nia hao kwamba kati ya kata 34 za jimbo hilo, ni kata 22 tu ndo zinauongozi na wajumbe kamili wa mkutano maalaumu wakura zamaoni. NAKANYOMWA aliwataka watiania hao kujinadi kata 22 tu ambazo zinauongozi na kweli watiania walijinadi kama walivyoelekezwa.

Ikafika wakati wakuchukua fomu nakanyomwa akawaambia watiania muda wakujinadi kwa wananchi umeisha. Watiania wakatii maagizo ya kiongozi wao. Kumbe katibu huyo wa wilaya analake jambo. Kwa siri akawa anaendelea kumnadi mgombea anaemtaka yeye.

Kwa siri na kinyume na katiba ya Chadema NAKANYOMWA akishirikiana na mwkt.wa kijiji cha Stesheni kijiji anachotoka mbunge wa sasa Mathias chikawe, pia akishirikiana na red brigedi ndg. Tabata wakaunda uongozi kwa SIRI wiki moja kabla ya kura za maoni kwenye kata 12 ambazo awali hakukuwa na uongozi.

Wakamchukua mtia nia mmoja kumna hizo kata 12 huku watiania wengine wakinyimwa fursa kujinadi kata hizo. Wakachagua viongozi feki 9 ktk kata 12 na kujihakikishia kura 118 kabla ya uchaguzi kwa ya mtiania anayemtaka bwana NAKANYOMWA.
Kwa tafsiri nyingine kwamba mshindi alikuwa tayari anakura 118 kabla ya uchaguzi.

Siku yakura zamaoni ilipofika watia nia wote wakachanga pesa za kusafirisha wapiga kura wa vijijini lakini bwana NAKANYOMWA akishirikiana na bwana Lijawa na Tabata wakatoa luga ya vitisho kwa wapiga kura kwamba nagari hayo yameletwa na Mmoto hivyo wamchague Mmoto.

Hii kampeni chafu na dhuluma kwa watiania walioshindwa uchaguzi. Ndani ya fuso zilizobeba wapigakura NAKANYOMWA aliweka mamluki wakugawa pesa kwa wapiga kura. Pia ndani ya UKUMBI kulikamatwa vipeperushi vikisambazwa kwa wapigakura vikihamasisha kumchagua Mmoto.

Hatimae Mmoto akatangazwa mshindi kwa dhuluma.
Naona umefurahi
 
Back
Top Bottom