TANESCO Dar es salaam fuatilieni muenendo wa wafanyakazi wenu wanaotembea na lile lorry double cabin la kijani hasa likiwa maeneo ya Tandale/Sinza mtashangaa.Tafadhali tupatie ushirikiano kwa kutoa taarifa kamili kwetu au TAKUKURU kwa hatua zaidi
Tafadhali njoo inbox tusaidie namba yako na namba ya gari kwa hatua zaidiTANESCO Dar es salaam fuatilieni muenendo wa wafanyakazi wenu wanaotembea na lile lorry double cabin la kijani hasa likiwa maeneo ya Tandale/Sinza mtashangaa.
Trust me they make more money than your Regional Manager
Ngoja nifuatilie ni nakili namba zake Ila kinara wao jina lake linaanza na F, huyu mpaka jumapili na public holidays hapumzikiTafadhali njoo inbox tusaidie namba yako na namba ya gari kwa hatua zaidi
Ahsante sana kwa taarifa
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidiJitahidini katika swala la umeme kukatikakatika, nipo hapa Kawe tangu asubuhi hakuna umene. Nategemea saluni yangu kulisha watoto wangu, leo watakula nini? Na mwekezaji kutoka nje atafanyaje. Msimuangushe JPM katika nchi ya viwanda.