Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

Mchaga ni mtu mzuri sana kwenye issue ambayo haihusu pesa!

Kwenye issue inayohusu pesa ni afadhali ukutane na dubu au simba mwenye njaa kuliko mchaga. Kwake utu wa mwingine hauna thamani mbele ya pesa!

well said mdau, mchaga anaweza akakutumia majambazi kisa mlitofautiana kwenye pesa......wachaga ni mkosi
 
Alafu mtoa mada unasema halmashauri ya Moshi wamejazana wachagga hivi kweli hapo Moshi wachagga wanaweza kuwa minority kwenye chimbuko lao wenyewe?

Au wachagga wanaweza kuwa majority kwenye halmashauri ya Tarime?

Em just use that ball shaped sphere on top of your neck in a useful way it should work on.
 
well said mdau, mchaga anaweza akakutumia majambazi kisa mlitofautiana kwenye pesa......wachaga ni mkosi

kuna ugomvi nimeshuhudia wa wachaga mtu na kakake wanagombea shamba la urithi. Walifika hatua wakaacha kusalimiana mpaka kukataza watoto wao wasitembeleane. Na mpaka kaka mkubwa anafariki hawakuwahi kuelewana kisa ni shamba la urithi. hao ni ndugu wa tumbo moja je kwa mchaga na kabila lingine?? mchaga anaweza kuua kisa ni pesa in short wachaga ni watu wasio na utu inapokuja suala la pesa! Ni bahatii mbaya wote tutakufa na kuacha hizi pesa....
 
kuna ugomvi nimeshuhudia wa wachaga mtu na kakake wanagombea shamba la urithi. Walifika hatua wakaacha kusalimiana mpaka kukataza watoto wao wasitembeleane. Na mpaka kaka mkubwa anafariki hawakuwahi kuelewana kisa ni shamba la urithi. hao ni ndugu wa tumbo moja je kwa mchaga na kabila lingine?? mchaga anaweza kuua kisa ni pesa in short wachaga ni watu wasio na utu inapokuja suala la pesa! Ni bahatii mbaya wote tutakufa na kuacha hizi pesa....
mbona unachanganya madesa, mara shamba la urithi mara pesa, hivi ni maeneo gani katika nchi hii watu wanapigana na kuuana kwa ajili ya kugombea ardhi? kati ya wahusika wakuu wa ESCROW, UFISADI WA MAKONTENA TRA, BANDARI NA KWINGINEKO WAHUSIKA WAKUU NI AKINA NANI? CHENGE, MUHONGO, TIBAIJUKA, MASAMAKI BADE, NGELEJA, KARAMAGI, MANJI, PATEL, BAKHERESA(WAKWEPAJI KODI) SIJUI WACHAGA NI WANGAPI HAPO! ACHENI CHUKI FANYENI KAZI!
 
alafu mtoa mada unasema halmashauri ya moshi wamejazana wachagga hivi kweli hapo moshi wachagga wanaweza kuwa minority kwenye chimbuko lao wenyewe?

Au wachagga wanaweza kuwa majority kwenye halmashauri ya tarime?

Em just use that ball shaped sphere on top of your neck in a useful way it should work on.
chagaphobia na hii kwa baadhi ya wenzetu wavivu na kutopenda kufanya kazi kwa bidii, wakimwona mchaga viroho vinawadunda wakijua fika kwa utendaji wake wa kazi atweza kuwareplace vyeo vyao.
 
Wachaga wapuuuzi sana ndo maana magufili kawatosa kwenye baraza lake la mawaziri... na ukatibu watatimuliwa hvo hvo mpaka watie adabu
 
wachaga wapuuuzi sana ndo maana magufili kawatosa kwenye baraza lake la mawaziri... Na ukatibu watatimuliwa hvo hvo mpaka watie adabu
wachaga wangekuwa wapuuzi kweli angewapa ili wadhihirishe upuuzi wao vizuri, lakini kwa vile anawatambua kwa ufanya kazi anawaogopa wasije wakamfunika akawa si lolote tena!
 
wachaga wangekuwa wapuuzi kweli angewapa ili wadhihirishe upuuzi wao vizuri, lakini kwa vile anawatambua kwa ufanya kazi anawaogopa wasije wakamfunika akawa si lolote tena!

Ndo akil zako zmefkia hapo... subir muisome namba... PM msuya aliwasaidia kutoka kimaisha kumbe nyie wabnafsi mpka akajuta wajua sasa minyooosho kwa kwendaa mbele angalia wanaotafta TPA na TRA n kina naniii..... mtanyoooka tu... mnaiibia serkal afu mnajifanya mnataka mabadiliko
 
ndo akil zako zmefkia hapo... Subir muisome namba... Pm msuya aliwasaidia kutoka kimaisha kumbe nyie wabnafsi mpka akajuta wajua sasa minyooosho kwa kwendaa mbele angalia wanaotafta tpa na tra n kina naniii..... Mtanyoooka tu... Mnaiibia serkal afu mnajifanya mnataka mabadiliko
wapenda vya bure ndiyo mtakaoisoma namba, bakharesa, masamaki, bade ni wachaga?
 
Umewaona hao tu... hahahahahahhahaaha mtaisoma namba... subr show
 
Wachagga kwa rushwa wanatia kinyaa. Walikua wamemonopolize TRA kama chama chao, Kabla ya Bashe TRA ulikua hupati kazi hadi rushwa ya kuanzia Mil 2, sasa hivi TRA unaingia kwa qualification. wamejazana TRA kama mafisi kwasababu kuna rushwa. Kwenye miji yetu tunawakaribisha lakini ukihamishiwa pale kwao. YELEUwii yaani we acha tu. ofisini full kichagga. Kosea stepu uoe binti yao. Kama wewe sio mchagga taf usioe mchagga, kama unaona urongo jaribu majuto ni mjukuu.

wivu wa kike huo, wanawake wa kichaga hawatakagi majitu magoigoi kama wewe wasiojua kutafuta pesa
 
Nimejaribu kufuatilia sana na kushiriki kwa namna moja au nyingine katika michakato mbali mbali ya ajira eidha ya mda au ya kudumu.Mfano tukianza na hili la ajira ya mda ya kuandikisha wapiga kura kwa mashine za BVR ni aibuuu kubwa kwa Halmashauri hii,waliitisha interview ambayo ilikuwa ni kuchapa sentensi mbili kwa sekunde 30,cha kushangaza waliomaliza kabla ya mda hawakuchukuliwa na walioshindwa kumaliza kwa mda ndio walioshinda!!!shame upon them!!!Hata zoezi nyeti kama hili tunaleta ukabila,rushwa na kujuana???Ngoja tuone hatma yake!!Mfano,nilimuona dada mmoja si mtumishi wa halmashauri hiyo akiwa amepata kinyume na masharti ya ajira hiyo ya mda ambayo walitaka mfanyakazi wa muda wa zoezi hilo awe ni mtumishi wa halmashauri hiyo,aliyemsaidia kupata nafasi hiyo ya ajira ni Afisa mtendaji aliyejulikana kwa jina la MARLEY AAKISHIRIKIANA NA WATUMISHI WENGINE WASIO WAAMINIFU(MAJINA NINAYO).

Lakini pia HALMASHAURI YA MOSHI KIMYA KIMYA iliajiri ma afisa biashara ambao ni walimu,nafasi hizo zilimtaka muombaji awe amesomea na amebobea katika fani za biashara lakini kinyume cha matakwa na masharti ya ajira hiyo wakaajili walimu wa book keeping,commerce na science ndio wakapitishwa na kupata ajira hizo kimsingi wengine kati yao walikuwa walimu wa masomo ya science ambapo bado kuna upungufu mkubwa,kwa rushwa na kujuana wakapewa ajira kwa mara ya pili wakati wasiokuwa na ajira wanahangaika bila mafanikio.(rejea walioajiriwa hivi karibuni kitengo cha biashara Halmashauri ya Moshi)

Pia hivi punde Halmashauri ya moshi imetangaza tena ajira mbali mbali,lakini kwa ukiritimba huu wa kikabila,rushwa iliyokithiri ikiwemo ya ngono tutegemee yale yale,wenye sifa wataachwa,waliotoa rushwa ya fedha na ngono ndio watapitishwa kama ilivyotokea kwenye BVR,AJIRA ZA UAFISA BIASHARA NK.

WITO:TAKUKURU MFANYE UCHUNGUZI WA KINA KATIKA SUALA HILI NYETI,USHAHIDI UPO CLEAR,MF.CHOOSE RANDOMLY WALIOPITISHWA KATIKA KUANDIKISHA BVR NINAUHAKIKA ITAKUTANA NA WATU WENGI HAWAJUI HATA KUTYPE KWA SPEED WALIYOTAKA NA HAWANA VIGEZO VYA KAZI HIYO NYETI KWA UJUMLA.PIA KATIKA KITENGO CHA BIASHARA REJEENI WALIOAJIRIWA HIVI KARIBUNI UTAKUTA WENGI NI WALIMU NA HAWANA SIFA YA KUSHUGHULIKIA MABO YA BIASHARA MATOKEO YAKE KUKOSA MBINU ZA KITAALUMA ZA KUKUSANYA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO HIVYO KUIKOSESHA HALMASHAURI NA SERIKALI MAPATO.

Hy ndio tabia iliyopo, na hao wa hukoo ndio kabsaaaa, Yaan mkuu wa kitengo alikiwa Masaweee, nafasi za maab atashika Urio, Kileo, Shirima ht km ujuz hana.
 
Wachaga wamebarikiwa na mungu mtajibeba na chuki zenu

Waambie hao serikali wameunda hakuna ....wakaona kuanzia Kilimanjaro,Manyara na Arusha ....mwenye shape ya uwaziri Tena unaibu ninmmoja tu ..Tena Naibu ..Ole Nasha ......... ,
Huo ukabila moshi unatoka wapi wakati waajiriwa wanaletwa na serikali Kuu ...au Kama wanaongelea madereva na wapika chai ......au madiwani labda

Wakati kuna mikoa imetoa mawaziri wawili hadi wanne kwa MKOA Moja ..
 
Waambie hao serikali wameunda hakuna ....wakaona kuanzia Kilimanjaro,Manyara na Arusha ....mwenye shape ya uwaziri Tena unaibu ninmmoja tu ..Tena Naibu ..Ole Nasha ......... ,
Huo ukabila moshi unatoka wapi wakati waajiriwa wanaletwa na serikali Kuu ...au Kama wanaongelea madereva na wapika chai ......au madiwani labda

Wakati kuna mikoa imetoa mawaziri wawili hadi wanne kwa MKOA Moja ..

Ndio mjifunze kuacha wizi nyie Wachaga mkiwekwa sehemu ni kuiba ndio mmetufikisha hapa. Magufuli hakuwa na jinsi maana angechagua nani uwaziri wakati huko uchagani mmechagua wabunge wote chadema alafu hamuaminiki ni wezi.
 
ha-ha!! Msipo wa diss wachanga siku yenu haiendi kama inavyo takiwa wee jamaa una chuki sana!! Kumbuka wachanga hawaitengemei serikali siyo lazma Magufuli ateuwe mawaziri kutoka kaskazini!! Dodoma wamevuna mawaziri wengi lakini nini cha maana kipo huko Dodoma??? Sis tuna dola yetu hapa ni sawa na Marekani kukimbilia kuwawekea vikwazo Urus!!! na bado mtaisoma number
 
Watu wa vibarazani utawajua tu kutwa tantalila kazi hamfanyi alafu mnataka maendeleo, maskini wa akili hukesha kunzungumzia watu sasa mtakesha na wachaga ila hamuwarudishi nyuma next time tutawauza kama mashamba
 
Back
Top Bottom