sawa mkuu,km recategorization utaratibu ndio upo hivyo mlivyofanya???unamnyofoa mtu kwenye kada ambayo inaupungufu????yaani serikali inawasomesha walimu kwa gharama wewe na jopo lako mnawanyofoa na kuwapeleka idara nyingine kinyume na utaratibu!!!Mimi sijaona Halmashauri ya vilaza kama hii,mwisho wenu unakaribia kama sio kufika mwisho!!Msidhani watanzania wa sasa ni wale wa miaka 47!!!walioajiriwa/waliofanyiwa recategorization hapo wote ni walimu tena wa science ambao serikali imewagharamia kwa fedha nyingi,kwa kujuana kwa vile wazazi wao,jamaa zao ama rafiki zao ni wafanyakazi wa halmashauri eti wamefanyiwa recategorizatio,na MKURUGENZI NAE ANARIDHIKA TU!!hivi hiyo dhana ya kuongeza ajira mpya mnaitekeleza wapi!!!??kama nyie kila siku kufanya recategorization???vijana wenye sifa ya kuajiriwa upya watapataje ajira???acheni uchaga,udini,rushwa za ngono!!!LA BVR kuweza ama kutoweza ww sio msemaji wa watanzania,ulienda field ukaona hawawezi???mnaingiza vimemo vyenu vya mahawara wenu ili mtuharibie zoezi la kitaifa ili watu waseme serikali ya KIKWETE NA CCM imefeli???na mmeifelisha kweli kwa staili hii,mnaendekeza njaa eti na nyinyi wafanyakazi wa halmashauri mnajiweka katika zoezi matokeo yake watanzania wanataka kuhudumia watumishi hawapo wapo machame,kibosho nk kny kuandikisha daftari la kudumu kwa BVR!!UPOLE WA FULGENCE MPONJI UTAMPONZA AMA KUIPONZA HALMASHAURI YAKE.
MY TAKE:Tanzania ya sasa si ya zamani,hamna mtu mwenye hati miliki ya serikali na ofisi zake,hata wewe ipo siku utashushwa kama walivyoshushwa wengine!!!