kuna jamaa alienda marangu kuoa,sehemu moja inaitwa kiraracha,nikamsindikiza nikacheka sn nilichokiona!!!eti alete pombe pipa 12,mbuzi 2,kondoo mmoja,mguu mmoja wa ng'ombe,blanket 2,khanga za mashangazi walikuwa 9,kamba,alipie kikao cha kuja kwake ie chakula na vinywaji,nk then alipe mahari mil.1.5,jamaa akawambia ntarudi akampiga chini demu japo tayari alishampa mimba,ile hela kwa hasira akaongezea hela kidogo akanunua spacio,na akarudi kwao mbeya akaoa akina atuganile!!mapenzi yenyewe hawajui,shape ndo vile juu wapana chini km wanatembelea mikono!!!!