Badilikeni kila siku nyie kubalini makosa mjilekebishe
Huo ni ubaguzi huo. Utaanzia ukabila, utaendelea ukanda, hutoishia hapo utafikahadi kwenye ubaguzi wa rangi, jinsia,
kwa kutaja machache.
Kumbuka: Wachagga ni Watanzania pia, na wanahaki kufanya lolote walitakalo ndani ya nchi yao pasipokuvunja sheria...