Rushwa katika kazi

Rushwa katika kazi

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Wana Jf, Nimepigiwa simu na rafiki yangu kanieleza kuwa kuna nafasi serikalini ambayo ipo wazi kati ya nafasi hizi walizozitangaza hivi karibuni na kwamba nahtaji tutoa 1.5million, ili niweze kupata hiyo nafasi.

Kusema ukweli mm nipo tayar kutoa hyo fedha kulingana na ukosefu wa ajira, ila sijapata uhakika kuwa nikitoa hyo pesa kazi nitapata, japo jamaa kaniambia ni uhakika 100%.

tafadhar ambaye alishawahi kufanya hivyo au mwenye taarifa na uzoefu juu ya hilo naomba anisaidie.

ikiweekana ani PM namba yake tuweze kuwasiliana.
Naogopa kuingizwa mjini
 
Inawezekana bro. kwani najua watu wengi ambao wamepitia hiyo njia pala utumishi na wamepata kazi za uhakika. But unakiwa kuwa macho.
 
Rafiki yako akuhakikishie km ni kweli na mwambie utakufa naye asipopata kazi hiyo ii wakurudishie pesa yako
tumia mtandao wa simu au weka shahidi kabisa wakatiunampa hiyo rushwa
Kweli dunia imekwisha yaani vyeti havihitajiki tena?
 
Wana Jf, Nimepigiwa simu na rafiki yangu kanieleza kuwa kuna nafasi serikalini ambayo ipo wazi kati ya nafasi hizi walizozitangaza hivi karibuni na kwamba nahtaji tutoa 1.5million, ili niweze kupata hiyo nafasi.
Kusema ukweli mm nipo tayar kutoa hyo fedha kulingana na ukosefu wa ajira, ila sijapata uhakika kuwa nikitoa hyo pesa kazi nitapata, japo jamaa kaniambia ni uhakika 100%.
tafadhar ambaye alishawahi kufanya hivyo au mwenye taarifa na uzoefu juu ya hilo naomba anisaidie.
ikiweekana ani PM namba yake tuweze kuwasiliana.
Naogopa kuingizwa mjini

Hio 1.5 million ukichanga karata freshi itakuletea million mia moja...sikushauri utoe rushwa maana hakutokuwa na tofauti ya wewe kulalamikia urasimu serikalini
 
Inawezekana bro. kwani najua watu wengi ambao wamepitia hiyo njia pala utumishi na wamepata kazi za uhakika. But unakiwa kuwa macho.

Siyo Kwa Serikali Hii Ya Sasa Ya Awamu Ya 5 Ya JPM. Tena Nyie Watendaji Kuweni Makini Mno Na Uongozi Huu MTAUMBUKA Na HAMTOAMINI Macho Yenu. Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya MSUBI Na MKWERE Shauri Yenu.
 
Nothing has changed ndugu,
 
ulikua unasubiri nini mbona mtaji unao wakutosha,,,watanzania bwana,,,,wako radhi watoke saa 11 asbh warudi saa tano usiku kisa anafanya kazi posta wakati kazi yenyewe hamlipii mateso anayopata,,changanya akili wacha uvivu wa mawazo
 
mpe biz plan, mjasiriamali.
 
jina lako limekaa kibiashara kwa luga flani,,,nafikiri ungefaa kutoka kwako,,,nimebobea corporate investment
 
Nishauri nifanye biashara gan, coz hii hela nimeipata kutokana na savings na stationary nilivyokua nafanya chuo...
Japo stationary ilikua kwa magendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom