Nimepoteza kazi kwa sababu ya fitna

Makongoro Igana

New Member
Jan 8, 2023
4
31
Mimi ni kijana (Me) wa miaka 30 na ninaishi Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu na niko katika hatua ya mwisho ya kuhariri tasnifu yangu ili niweze kuhitimu shahada ya umahiri katika mipango na menejimenti ya miradi.

Nilikuwa nafanya kazi kwny kampuni moja na miezi sita iliyopita nmepandishwa cheo na kuanza kusimamia idara mbili kama meneja. Toka nilipopandishwa cheo zikaibuka fitna, majungu, uchonganishi na husuda za waziwazi kutoka kwa wafanyakazi wenzangu wakiongozwa na jamaa mmoja wa makamo ya 40’s ambaye kwa uwezo, elimu na vigezo vya nafasi nilipo hawezi kurithi nafasi yangu. Nilitamani nielezee hiki kisa kwa kirefu ili hata iwe funzo Kwa wengine lakini naogopa ku-disclose mambo ya kampuni hyo hapa.

Nasema wazi wanafamilia wenzangu wa Jf nimefanyiwa vitimbwi vingi ambavyo nimevumilia na kupotezea maana nafasi yangu kazini ilihitaji hitaji hekima, busara na utulivu. Kuna muda nilikubali kuumia na hata kuhatarisha uhai wangu. Lakini imefika hatua hivi vita wamevishinda nimepoteza kazi.

Nmekaa nikatafakari na nikaomba ushauri sana juu ya reaction yangu kwa hawa watu. Wengi wamenishauri niwaharibie kitu ambacho kwangu nikiamua naweza hata nikiwa nje ya kazi. Nmetafakari kuhusu destiny za ndugu zao, familia na wengine wanaowategemea. Nmeamua kutokulipa kisasi na kuamua kuacha Karma na Mungu vichukue nafasi. Kwani kilichonipata sitaki kimpate mwingine hata huyu aliyekisababisha.

Nmepoteza kazi katika kipindi ambacho nauguza wazaz wangu wote wawili nmewatoa kijijini wapo hapa Dar na nikiwa katika majukumu ya kusomesha mwanangu na watoto wa marehem dada yangu. Nmeumia sana moyo unadunda kila saa, kula Siwez na najikaza wazaz wasijue nisiwaue kwa pressure. USIOMBE HALI HII IKUKUTE

Kabla sijapata hii kazi niliyokuwa nafanya mara ya mwisho, Nimewahi kufanya kazi katika kampuni moja ya biashara na nmefanya kazi za muda kwa makubaliano na CSOs changa ambazo mara nyingi ni za kujitolea au kwa ujira kidogo kutokana na uchanga wa taasisi hizi, kuandika proposal za research za watu na kazi nyingine za kitaalumu kusaidia watu.

Katika kipindi hiki ndugu zangu nipo katika hali mbaya sana. Kwa mwana JF yeyote atakayeguswa na hili anisaidie angalau hata Kwa kazi, connection au hata ushauri wa mawazo tu. Nipo kwenye hali ya kukata tamaa na sijui moyo wangu utawaza nini kesho.

Nimelazimika kutokutaja kampuni na mambo mengine mengi kwa sababu ya kulinda image yake.
 
Wewe dogo tatizo Kibri.... Ulianza kujiona umemaliza.... Ishi na watu vizuri. Usidhani Elimu Duniya peke yake itakusaidia. Kuna Ilimu Akhera pia ipo. Na suala la Elimu. Wewe ukijua ya mbele wenzako wanajua ya nyuma. Ongea vizuri na watu. Shauri yako
 
We jamaa mwanga sana !! Achana na izi tabia utakuja kufa vibaya.

Mulivyomchomea yule kijana na uchawi juu mlipata nn?

👉Achana na izo mambo mwisho wake ni mbaya.
 
Wewe dogo tatizo Kibri.... Ulianza kujiona umemaliza.... Ishi na watu vizuri. Usidhani Elimu Duniya peke yake itakusaidia. Kuna Ilimu Akhera pia ipo. Na suala la Elimu. Wewe ukijua ya mbele wenzako wanajua ya nyuma. Ongea vizuri na watu. Shauri yako

Sijafnya kibri na sioni haja ya kuwa hvyo. Nimejitahid kuheshimu na kuwajali hata hawa waliokuwa wananifanyia ubaya nikiwa najua. na ningekuwa hvyo nafkir ningelipa kisasi
 
Wewe dogo tatizo Kibri.... Ulianza kujiona umemaliza.... Ishi na watu vizuri. Usidhani Elimu Duniya peke yake itakusaidia. Kuna Ilimu Akhera pia ipo. Na suala la Elimu. Wewe ukijua ya mbele wenzako wanajua ya nyuma. Ongea vizuri na watu. Shauri yako
Kwahiyo F16 Falcon yupo sawa? Umempiga zongo mshikaji?
 
Mimi ni kijana (Me) wa miaka 30 na ninaishi Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu na niko katika hatua ya mwisho ya kuhariri tasnifu yangu ili niweze kuhitimu shahada ya umahiri katika mipango na menejimenti ya miradi.

Nilikuwa nafanya kazi kwny kampuni moja na miezi sita iliyopita nmepandishwa cheo na kuanza kusimamia idara mbili kama meneja. Toka nilipopandishwa cheo zikaibuka fitna, majungu, uchonganishi na husuda za waziwazi kutoka kwa wafanyakazi wenzangu wakiongozwa na jamaa mmoja wa makamo ya 40’s ambaye kwa uwezo, elimu na vigezo vya nafasi nilipo hawezi kurithi nafasi yangu. Nilitamani nielezee hiki kisa kwa kirefu ili hata iwe funzo Kwa wengine lakini naogopa ku-disclose mambo ya kampuni hyo hapa.

Nasema wazi wanafamilia wenzangu wa Jf nimefanyiwa vitimbwi vingi ambavyo nimevumilia na kupotezea maana nafasi yangu kazini ilihitaji hitaji hekima, busara na utulivu. Kuna muda nilikubali kuumia na hata kuhatarisha uhai wangu. Lakini imefika hatua hivi vita wamevishinda nimepoteza kazi.

Nmekaa nikatafakari na nikaomba ushauri sana juu ya reaction yangu kwa hawa watu. Wengi wamenishauri niwaharibie kitu ambacho kwangu nikiamua naweza hata nikiwa nje ya kazi. Nmetafakari kuhusu destiny za ndugu zao, familia na wengine wanaowategemea. Nmeamua kutokulipa kisasi na kuamua kuacha Karma na Mungu vichukue nafasi. Kwani kilichonipata sitaki kimpate mwingine hata huyu aliyekisababisha.

Nmepoteza kazi katika kipindi ambacho nauguza wazaz wangu wote wawili nmewatoa kijijini wapo hapa Dar na nikiwa katika majukumu ya kusomesha mwanangu na watoto wa marehem dada yangu. Nmeumia sana moyo unadunda kila saa, kula Siwez na najikaza wazaz wasijue nisiwaue kwa pressure. USIOMBE HALI HII IKUKUTE

Kabla sijapata hii kazi niliyokuwa nafanya mara ya mwisho, Nimewahi kufanya kazi katika kampuni moja ya biashara na nmefanya kazi za muda kwa makubaliano na CSOs changa ambazo mara nyingi ni za kujitolea au kwa ujira kidogo kutokana na uchanga wa taasisi hizi, kuandika proposal za research za watu na kazi nyingine za kitaalumu kusaidia watu.

Katika kipindi hiki ndugu zangu nipo katika hali mbaya sana. Kwa mwana JF yeyote atakayeguswa na hili anisaidie angalau hata Kwa kazi, connection au hata ushauri wa mawazo tu. Nipo kwenye hali ya kukata tamaa na sijui moyo wangu utawaza nini kesho.

Nimelazimika kutokutaja kampuni na mambo mengine mengi kwa sababu ya kulinda image yake.
Kisa chako kinasikitisha na kuumiza. Mambo hayo si mageni sehemu za kazi. Usikate tamaa mwombe sana Mungu. Ana kusudi nawe. Ulikuwa unafanya kazi kama nani?
 
Hayo mengi Sana kazini,shukuru hukulogwa,wenye koneksheni ya kazi watakupa,Ila Kama una access na shamba basi Lima bamia,zinakomaa baada ya siku 55,kwa ekari Moja utapata walau laki Tano kila baada ya siku mbili,ukiwa tayari niambie nikuelekeze kilimo Bora Cha bamia
Mmmh....kaka....hii ikoje aiseee.....hebu tushirikishane kujikwamua kiuchumi bhana..
 
Tukisema fitna ni sawa lakini tukiwa wakweli, lazima kuna jambo ambalo umelifanya ukasababisha kuachishwa kazi kama bado ulikuwa ndani ya Mkataba.

Je, ni kitu gani hicho? Mkataba wako unasemaje ya kufukuzwa kazi? Au mwisho wa mkataba wako ndiyo umefika na wakaona hakuna haja ya kukuongezea ukweli?

Kama ulivyokuwa muungwa kutowaharibia kazi, basi kuwa muungwana pia katika kueleza ukweli juu ya kisa chako. Siamini kama unaweza kufukuzwa kazi bila sababu.

Kama bado upo ndani ya Mkataba, jielekeze terms za kuvunja mkataba. Wakulipe huku ukiendelea kutafuta kazi.

Mwenyenzi Mungu awajalie afya njema wazazi. Hayo ni majaribu, pambana nayo. Ukizidiwa omba msaada kwa Wakuu.
 
Back
Top Bottom