Rushwa imetamalaki, uzembe umekithiri

Rushwa imetamalaki, uzembe umekithiri

Rushwa ipo sana tuu ....n mbinu za kuipokea tuu zimebadilika wako makini sasa hivi hawaachi ushahidi!
 
Mtani ninakushangaa unavyolalamika ati Rushwa imekithiri,Kwani zile Bilioni nane za Kivuko kibovu zilikuwa nini??Au kuhonga nyumba za serikali kwa nyumba ndogo??

Aliyeweza kukwapua raslimali zetu akiwa na cheo kidogo atakwapua zaidi akiwa na cheo kikubwa.

Rushwa Keisha mpaka tupate Kiongozi aliyekuwa muadilifu na anayechukia rushwa na ufisadi toka ndani yake na si kuigiza.

Hakuna wa kupiga na na rushwa hapo, ni blah blah za kupiga zaidi.

kwani ana nyumba ndogo???,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wonders shall never end 😵🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Nimetoka kusikiliza taarifa ya habari inasema Tanzania tumefanikiwa kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa reli, sgr, mwanzo tuliambiwa tuna hela yetu wenyewe kuuhudumia mradi.

Hii inatoa picha kua serikali haina pesa, kujali watumishi, kuendeleza hayo maduka, kunahitaji pesa. Tukazane tuepushwe na kikombe hiki.
Trust no one

May Allah bless Me and You
 
SRG mbona ilishasemwa kuwa ni mkopo mda mrefu sana, utakuwa hufuatilii habari weye.
yote haya yalisemwa na mtu mmoja.
Wote mpo sahihi.Je tuiamini KAULI IPI?
Za KUAMBIWA.........
Kuanza kusemwa kua ni mkopo ni baada ya Zuma kuja, Raisi akaomba asaidiwe ujenzi ila kabla ya ujio wa Zuma alikua akiunadi mradi kua utahudumiwa na pesa yetu wenyewe kwa kua pesa tunayo.
Leo ndiyo naisikia taarifa ya huo mkopo kupatikana.

Itakua ulianza kufuatilia habari ya reli siku Zuma anakuja au alipoondoka.


May Allah bless Me and You
 
Kupandishwa daraja si ndio wanataka kuanza au hukuisikia hii!? Nchi yetu ni kubwa na raia wengiii, kwa kila kitu kutendeka siku moja... ila hao wanaotoa rushwa ndio tatizo hilo... wanachangia kuliendeleza. Wananchi ni vyema wakaripoti matatizo wanayokumbana nayo ili ijulikane na hatua kuchukuliwa... tuisaidie serikali inapobidi
"Chukueni elf 5 za KUBRASHIA VIATU"


May Allah bless Me and You
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hospital sasa hivi sio sehemu salama kwa uhai wa ndugu zetu!dawa tuh ni shida...!sijui huo unafuu kwa wanyonge uko wapi?!
Upo kwenye kulipa KODI

May Allah bless Me and You
 
POLISI na MAHAKAMA,
Nimeyashuhudia haya,kituo cha Oysterbay na Mahakama ya Kinondoni.
Aisee,RUSHWA kwa sasa ndo MUBASHARA

May Allah bless Me and You
Polisi walishapewa go ahead na Magu kuchukua hela ya kubrashia viatu!
 
Watanzania ni wajinga! Wanauawa kimyakimya lakini bado wanavumilia! Magufuli ameua taasisi zote za fedha. Hakuna mtumishi anae staafu aliye lipwa mafao yake karibu mwaka mmoja sasa. BIMA, NSSF, PSPF, LAPF , NHIF Wote wamefilisika.Halmashauri nyingi zimebaki kama shule za sekondari! No money, hata karatasi wanaomba ! Mpaka 2020 haspitali zote na vyuo vya ualimu vitabaki magofu.
Wanaudhi sana.

Me nimefanya kazi mwaka mzima, account yangu ya NSSF inasoma ziro. Mwajiri kila mwezi anapeleka hela, na ananipa risiti but hao nssf hawaweki hela yangu mwaka mzima.

Shenzi kabisa


PPF wanajenga mjengo mrefu mkubwa wa mabilioni pale karibu na mlimani city. Alafu kuna wazee wanazungushwa na pesa zao wanaambiwa had miezi 6 ndo wapewe
 
kwani ana nyumba ndogo???,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wonders shall never end 😵🙄🙄🙄🙄🙄🙄

Hahhahahahha siyo kila asemaye ataurithi Ufalme wa Mbunguni basi ni Malaika wengine siyo wanasema tu
 
Tutaandamana Kumuunga Mkono Rais


*Tutasema Kweli Daima Fitna Kwetu Mwiko*
Ahadi Ya MwanaTanu
*Rushwa Ni Adui Wa Haki,Sitatoa Wala Kupokea Rushwa*


Kwasasa Wakina Mama Wajawazito Yaani Kadi Ya Kliniki Inauzwa Na Ukifika Unaambiwa Dawa Hakuna
 
5470dbb83e5c7a746c1ba52f0c07bed8.jpg
 
Back
Top Bottom