Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,231
- 9,552
Mtoa rushwa ni hatari zaidi kushinda mpokea rushwa kwa kuwa yeye ndiye anayemshawishi. mpokea rushwa ili asiadhibiwe katika uovu wake,na kama ana lazimishwa kutoa rushwa ili apewe huduma ambayo ni haki yake kupewa pasipo malipo yoyote kwa nini waendi kutoa taarifa TAKUKURU.
Watoa rushwa ndio wanaokwamisha juhudi za kupambana na rushwa,wasingekuwa wanatoa rushwa,mpokea rushwa asingekuwepo kwa kuwa angekosa rushwa ya kupokea kwa kuwa mtoa rushwa hayupo.
Wangekuwa wanalazimishwa kutoa rushwa wangekuwa wanakwenda kutoa taarifa kwenye vyombo husika na hii rushwa wanaolialia nayo kuwa wanadaiwa rushwa isingekuwepo.
Lakini wengi wao wanatoa rushwa kwa hiari yao wenyewe kwa sababu ya kujilinda na uharifu wao,au wanakuwa wamekataliwa kama CCM ambao ili waweze kuchaguliwa na ili upate cheo chochote ndani ya CCM ni lazima utoa rushwa kwa lugha ya heshima inaitwa takrima.