Rushwa imetamalaki, uzembe umekithiri

Rushwa imetamalaki, uzembe umekithiri

Yeye Akazane Na Ukusanyaji Tu, Wenzie Wanakazana Na Utafunaji. Asipowajali Na Maslahi Yao, Ataishia Kujenga Flyovers, SGR Na Chato Airport. Huduma Nyingine Ni Halijojo. Siku Hizi Kuna Posho Zilizobadilishwa Majina Ili Kuziba Ombwe La Ukakasi Wa Maisha.
 
Nimetoka kusikiliza taarifa ya habari inasema Tanzania tumefanikiwa kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa reli, sgr, mwanzo tuliambiwa tuna hela yetu wenyewe kuuhudumia mradi.

Hii inatoa picha kua serikali haina pesa, kujali watumishi, kuendeleza hayo maduka, kunahitaji pesa. Tukazane tuepushwe na kikombe hiki.
A long walk to freedom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr huo ndio ukweli ila tikisema tunaambiwa wachochezi, vijana wa Lumumba nao pamoja na kupigika kwao povu huwatoka kutetea hadi vitu ambavyo viko dhahiri. Ni aibu sana sana kwa macho yako unamuona huyu ni mbuzi lkn kwa akili ya kushikiwa unasema huyu ni 'huyu ni ng'ombe'.
 
Mtani ninakushangaa unavyolalamika ati Rushwa imekithiri,Kwani zile Bilioni nane za Kivuko kibovu zilikuwa nini??Au kuhonga nyumba za serikali kwa nyumba ndogo??

Aliyeweza kukwapua raslimali zetu akiwa na cheo kidogo atakwapua zaidi akiwa na cheo kikubwa.

Rushwa Keisha mpaka tupate Kiongozi aliyekuwa muadilifu na anayechukia rushwa na ufisadi toka ndani yake na si kuigiza.

Hakuna wa kupiga na na rushwa hapo, ni blah blah za kupiga zaidi.
Najiuliza mm asee!
Changavla macho!
 
Staff wa TRA nao kwa rushwa ndio wameamka kuliko zamani! wanakuja dukani kwako wanavizia usipotoa receipt tu basi rushwa yao sio chini ya 1M, kibaya zaidi wanakuja na vijana ambao wamewaandaa wao na huwakatia wakishachukua rushwa.
 
Soma vizuri hoja yangu ndiyo uje na Lowassa.!Haijalishi mwizi yuko upande gani!Hata Mwenyezi Mungu anakusamehe pale unakiri maovu yako na kuacha uovu.Ukiiba unatakiwa ukiri na urudishe mali uliyokwapua.Hakuna Kiongozi yeyote hapa Tz aliyeiba akakiri ameiba na akarudisha.

In short hakuna wa afadhali.
Hao ni wapumbavu a.k.a wajinga waliokomaa, badala ya kuongelea ufumbuzi wanatajataja watu, mtu mmoja atakusaidia nn, a fallen creature! Mtu mwenye tamaa zake na udhaifu wake unaenda kumtaja kama vile unataja jina la Mungu, sio upumbavu ni nn huo?
Kutaja taja watu ndio kumewaponza mpaka leo hii, wote mbaowataja wanawafanya nn sasa hivi?
DAWA YA NCHI HII NI KUWEKA MAJINA YA WATU PEMBENI NA KUFUFUA MFUMO WA KUONGOZA NCHI, CHINA HAKUNA UPUUZI KWAKUWA HAKUNA MTU ANAWEZA KUKAA JUU YA MFUMO HAPA MTU AKIWA KIONGOZI MFUMO WOTE ANAUTAWALA, HAPO LAZIMA SHIDA HIZO ZIENDELEE, KILA MTU ATAKUJA NA UOVU WAKE , LAKINI MFUMO HUWA HAUNA DHAMBI NA WALA HAUTENDI DHAMBI,
 
Katika kipindi watumishi wa umma wanahitaji warsha na semina elekezi ni sasa! Wanahitaji mafunzo ili transformation iendelee kuanzia Juu hadi chini.

Kazi na tensions hakuna ufanisi, speed bila accuracy hakuna ufanisi.

Baada ya muda tutakuwa tumepiga hatua mbili mbele na kurudi nyuma hatua tano! Na TUTAJIPONGEZA!

Sent from my Device.
 
Sio kweli,mda mwingine MPOKEA RUSHWA anaweza kukushawishi UMPE RUSHWA.Mara kadhaa matukio yameripotiwa na baadaye wahusika wanaachwa,hata wabunge walishawah kukamatwa kwa Rushwa on the spot je walifungwa???

May Allah bless Me and You
Kiboko cha kukomesha rushwa ni mtoa rushwa kukataa kuto rushwa hata kama atashawishiwa kutoa rushwa awetayari kukubaliana na matokeo yote,kama kaiba awe tayari kufungwa kama ana makosa ya usalama barabarani awe tayari kulipa faini.

tatizo la rushwa linakuja ni pale ambapo mtu unajua unakosa lakini unataka kumuhonga hakimu asikufunge au unataka kumuhonga askari asikulipishe faini inayotakiwa,ndio maana hata wale wanaotolewa taarifa ya kupokea rushwa wanaachiwa kwa kuwa wanawashawishi watoaji wa haki kupokea rushwa ili wapindishe ukweli.

Na kama kutakuwa na ubabaishaji wa kiutendaji wa kubambikizwa kesi/kunyimwa haki ndio maana viongozi wapo wa kushughurikia kero kama hizo na hakuna kiongozi yoyote ambaye anaweza akamuona mwananchi hatendewi haki halafu akakaa kimya bila kumsaidia.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hao ni wapumbavu a.k.a wajinga waliokomaa, badala ya kuongelea ufumbuzi wanatajataja watu, mtu mmoja atakusaidia nn, a fallen creature! Mtu mwenye tamaa zake na udhaifu wake unaenda kumtaja kama vile unataja jina la Mungu, sio upumbavu ni nn huo?
Kutaja taja watu ndio kumewaponza mpaka leo hii, wote mbaowataja wanawafanya nn sasa hivi?
DAWA YA NCHI HII NI KUWEKA MAJINA YA WATU PEMBENI NA KUFUFUA MFUMO WA KUONGOZA NCHI, CHINA HAKUNA UPUUZI KWAKUWA HAKUNA MTU ANAWEZA KUKAA JUU YA MFUMO HAPA MTU AKIWA KIONGOZI MFUMO WOTE ANAUTAWALA, HAPO LAZIMA SHIDA HIZO ZIENDELEE, KILA MTU ATAKUJA NA UOVU WAKE , LAKINI MFUMO HUWA HAUNA DHAMBI NA WALA HAUTENDI DHAMBI,

Wameulea wanajua wanachofaidika nacho kwenye huo mfumo wa wizi
 
Huu ndio ukweli huku mikoani ataa hiyo Tra hakuna kitu kilicho rekebika labda kukusanya kodi za majengo vinginevyo sasa hivi nikama wameunda umoja Wa kujihami wasigundulike kwa maovu yalio kuwepo na wanayofanya sasa hivi.yaani kama ni mabadiliko labda huko Dar alipo Mwenyewe Magufuli ,yaani kwa mikoa ya Arusha ,Kilimanjaro ,Tanga , Manyara,Mwanza,Mbeya,Morogoro hakuna mabadiliko tarajiwa sana sana sasahivi badala ya mtu moja moja kujilinda asikamatwe kwa rushwa au wizi sasa hivi ni kundi zima .mtindo ni kulindana .ndio maana uwezi sikia kamata kamata huku mikoani ni mpaka labda Raisi apite au Waziri Mkuu kama vile alivyo kwenda liamsha dude la Mbeya soko la mwanjelwa vinginevyo hiyo ishu ilikuwa inakufa .Yaani nikama Magufuli na Waziri mkuu wake wamesusiwa waongoze wenyewe ni kama mwishoni mwaenzi ya Baba Wa Taifa Mwl Nyerere ilikuwa kama wamemuacha mwenyewe na Waziri wake Mkuu .na bahati mbaya awamu hii imesusia siasa za upinzani ambazo ingesaidia sana kumjulisha haya maovu yalio jificha huku mikoani
 
Umesema kweli tupu..

Hali ni mbaya sana.

Trafiki Polisi ndio wamekuwa manyang'au au niseme ni wakora kwa wananchi. Kosa dogo tu wanataka hela(rushwa) au unaona anaanza kuprint ile fine. Toka kufutwa kwa road license kila Trafiki barabarani anataka kadi ya gari.

Lakini hili na makosa mengine ni makosa ambayo mtu anaweza kupewa onyo au elimu. Sio kila kosa Lazima mtu awe penalised.. Shame kabisa.

Kwenye madawa huko nyepesi nyepesi ni deni la MSD kwa serikali ni Mabilioni mengi tu. MSD has lost its purchasing power na hayo maduka yatakufa tu. Ambapo hayajafunguliwa ni Ndoto kufunguliwa.

Hospitalini huduma ovyo na morali ipo chini.

Wapo busy kumsaidia Lipumba kumaliza CUF na UKAWA..
Shame.
Usifanye makosa boss!
 
Vita dhidi ya Rusha ni yetu sote. Ukiombwa rushwa,usikubali kutoa. Takukuru wapo,call them to help you. Kuhusu,Msd,naona mmeingiza propaganda. Can you plz provide us with facts? Ifikie pahala,tupunguze porojo za ushabiki wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom