jitahidi kuficha ujinga wako, usifananishe ulaya na gamboshi.
Mtapiga sana Kelele huku mkiendeleza Majungu yenu ya Kipumbavu na Kishamba ila CCM ndiyo Chama Dola na Dk. Magufuli ndiyo Rais halali pia.Hata funza huwadharau konokono.
Acheni wivu nyie chandimu, tunafanya kazi tunasubiri 2025 tufanye tathmini!Mabibi na mabwana wapinzani wamebwagwa maendeleo sasa ni kama Uraya uraya tu.
Uraya = ulaya = uropa...
Tutapiga kelele na kina nani? Kwahiyo hiyo lugha ya picha na hayo mazingira ambayo mleta mada amejaribu ku portray wewe yamekuridhisha? Ni vizuri sometimes kuficha upumbavu na udumavu wa akili ili ustirike.Mtapiga sana Kelele huku mkiendeleza Majungu yenu ya Kipumbavu na Kishamba ila CCM ndiyo Chama Dola na Dk. Magufuli ndiyo Rais halali pia.
Kwahiyo hapo Rusahunga nyie Chama dola mna lami yenu eeh?Acheni wivu nyie chandimu, tunafanya kazi tunasubiri 2025 tufanye tathmini!
usimoenee mleta mada, yeye kasema Uraya na si ulaya. Yawezekana kuna mahali panaitwa Urayajitahidi kuficha ujinga wako, usifananishe ulaya na gamboshi.
Ni raisi halali aliyepatikana kwa njia isiyo halali.Mtapiga sana Kelele huku mkiendeleza Majungu yenu ya Kipumbavu na Kishamba ila CCM ndiyo Chama Dola na Dk. Magufuli ndiyo Rais halali pia.
Mabibi na mabwana wapinzani wamebwagwa maendeleo sasa ni kama Uraya uraya tu.
Uraya = ulaya = uropa.
Siku ya piki leo habari kutoka Nyabugombe baada ya kimvua kidogo huko sasa mambo ni kama Uraya!
Kumenuna vilivyo hapiti mtu! Bila shaka hata Uraya ni hivyo hivyo. Ajabu ni kuwa wahanga walioko huko ni misonyo na laana kwa kwenda mbele!
Wanasonya na kulaani ya ulaya? Wanataka ya wapi sasa?
View attachment 1623964
View attachment 1623967
Hiiii bagosha!
Tetete hujamwelewa mkuujitahidi kuficha ujinga wako, usifananishe ulaya na gamboshi.
Safi sn lami kila konaMbona huko mbali jangwani jana.
Hapo NI barabara ya Rami na Ile ya mwendo Kasi.
ILE FLYING OVER YA TAZARA BORA WANGEJENGA JANGWANIView attachment 1623991View attachment 1623993View attachment 1623994View attachment 1623998
Safi sn lami kila kona
Mkuu piga tu hakuna namnaKuna mama mmoja alianguka kwenye tope na boda boda[emoji16][emoji16].
Nilitaka kupiga picha.nikaona aibu.
Mabibi na mabwana wapinzani wamebwagwa maendeleo sasa ni kama Uraya uraya tu.
Uraya = ulaya = uropa.
Siku ya piki leo habari kutoka Nyabugombe baada ya kimvua kidogo huko sasa mambo ni kama Uraya!
Kumenuna vilivyo hapiti mtu! Bila shaka hata Uraya ni hivyo hivyo. Ajabu ni kuwa wahanga walioko huko ni misonyo na laana kwa kwenda mbele!
Wanasonya na kulaani ya ulaya? Wanataka ya wapi sasa?
View attachment 1623964
View attachment 1623967
Hiiii bagosha!
Mkuu Lusungo ,hawa misukule ya CCM ni aibu kwa Tanzania.Tutapiga kelele na kina nani? Kwahiyo hiyo lugha ya picha na hayo mazingira ambayo mleta mada amejaribu ku portray wewe yamekuridhisha? Ni vizuri sometimes kuficha upumbavu na udumavu wa akili ili ustirike...