Hiyo ni DECI, natangaza nanunua rupee dsm wakati huo nina rupee mia zipo mororgoro na nikiwa na 480,000,000 dsm, rupee ya kwanza niliyouza morogoro nainunua kwa pesa hiyo then huyo mtu anarudi mororgoro na kunua nyingine 70 zilizobaki mathalani for 500 million na zilizobaki moro na kwingineko zinanunuliwa toka kwangu for 600 million, nakuwa nimepata wastani wa 500 million times 1oo rupee, then wakiwa safarini kuzileta dsm napotea unabaki na rupee zako mkononi pesa umeliwa.
Mkuu Wiseboy, Hiyo issue ilikuwa wakati wa vita ya wajerumani na waingereza so wakati wajerumani wamepakia shehena yao ya kila aina ya madini na hazina nyingine nyingi meli ile ilipigwa kombora na kukwama kwa kuzamishwa na kombora lile na mpala leo ukitangaza kutaka kulima bonde lile Wajerumani wata bid kwa bei ya juu sana ili walime wao na wachukue hazina zile wao !
Haya mambo ni ya kweli lakini inafikia kuita ya Kitapeli kwasababu woote wanaingia kwa kazi hii bila ya kuwa na seminar elekezi kwanza kuzifahamu Sheria,Taratibu na Kanuni za utafutaji huu ! Mbona wapo waliokula bingo !
Mkuu wa mmoja wa majeshi mstaafu alipiga kazi moja mitaa ya Muheza na kuwa Bilione alinunua mpaka hisa kwenye shirika la ndege la Luthasa na kuanzisha Bank hapa nchini kama tawi na yeye kuwa ndio Mwenyekiti wake !
Hazina za wajerumani walizoziacha hapa Tanganyika ni nyingi na laiti kama tungekuwa na mkataba wa ukweli baina ya nchi hizi mbili tungeweza kuwa na uchumi ambao unatingisha Duniani !
Mimi nimeshajishughulisha sana na hizi habari na wala sitaacha mpaka na mimi nizitie mikononi kwani kuna Mjerumani mmoja nimeshapanga naye dili akija tu nampeleka saiti kwangu maana viongozi wengi wa nchi hii wamefaidika sana na mambo haya !
Viongozi woote (Rais) kasoro Mwl Nyerere wamefaidika na game hii
Kuna jumla ya saiti 5,264 na hizi ni zile kubwa kubwa ! Nyingi zipo kwenye himaya ya Makanisa ( makanisa mengi sana hasa ya Roma yamekalia hazina hii ) juu ni bosheni tu, Nyumba za wakuu wa Wilaya na baadhi ya ngome za serikali ya wajerumani ya zamani na mkoa unaoongoza kwa kuhifadhi hazina hizi ( maghala )ni Pwani, Morogoro na Tanga
Mfano 1: Nyumba anayoishi Mzee Mkapa pale Lushoto chini yake imekalia hazina kubwa sana ya Kijerumani.Lushoto kuna tambulika kama Germany ndogo ndani ya Tanganyika maana huko ni kama wamezimwaga hasa mitaa ya Chuo cha Mahakama yaani chini ya chuo kile kupo wazi na mashelfu ya mizigo
2: Ukiwa kisarawe- Pwani kuna underground turnel mpaka Bandarini ambako gari hasa kama ukubwa wa Fuso linaweza kupita pasi na shaka yoyote na kuna alama nyingi sana kando kando ya Reli ya kati kutoka Stesheni mpaka Kisarawe na kuendelea
3:Mnada wa Gongo la mboto nako pale chini ni hazina kubwa sana na mlango ulipo napafahamu
4: Ukiwa pale Magogoni feri yaani Magereza kuna baadhi ya milango underground haifunguliwi maana ni njia ya kutokea Kisarawe
To be cont
Nakubaliana na wewe 100%. Kesho nikipata nafasi nitakuja na yaliyonikuta mimi mwenyewe katika harakati za rupia. Kwa sasa nawaasa msijiingize katioka shughuli hiyo.Hiyo ni DECI, natangaza nanunua rupee dsm wakati huo nina rupee mia zipo mororgoro na nikiwa na 480,000,000 dsm, rupee ya kwanza niliyouza morogoro nainunua kwa pesa hiyo then huyo mtu anarudi mororgoro na kunua nyingine 70 zilizobaki mathalani for 500 million na zilizobaki moro na kwingineko zinanunuliwa toka kwangu for 600 million, nakuwa nimepata wastani wa 500 million times 1oo rupee, then wakiwa safarini kuzileta dsm napotea unabaki na rupee zako mkononi pesa umeliwa.
nimeshiba na hii theory mweeee.....nchi ya kufikirika hii. Ipo siku mtasema kuna anderground road kutoka dar mpaka pemba