Rungwe tuna wabunge bubu!

Rungwe tuna wabunge bubu!

Me mwenyew kwetu ni busokelo pale kandete,nakushangaa sana unaposema kwetu hamna shida au nyie ndio wapambe wa atupele mbuge mzigo kuliko wabunge wote wa tz,maendeleo gani unayosema ww mburula ,nauli tu kutoka katumba ni 4000 wakati km ni 33 tu iweje useme hatuna shida?kyejo tuna gesi lakin je umewah ona faida yoyote iliyotikana na hiyo gesi pamoja na kwamba kila cku gesi inaondoka na barabara ni ile ile miaka nenda .punguza ushamba wako katika kitu ninachowalaumu watu wa busokelo ni kuchagua mbunge kama atupele na kumtosa msomi wa sheria Boniface mwabukusi na hii laana itatutafuna tusipompa 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mwabukusi angoje 2040 labda lakin sio busokelo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ataiba, Wanyakyusa wanaroho ya ubinafsi na dharau wanajiona wao ndo Kabila superior kwahiyo wanahaki ya kutawala makabila mengine, hata ukiangalia namna wakati wa kukata mkoa makabila mengi yaliyataka kwenda mkoa Wa Songwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikurekebishe hapo. ...wanyakyusa sio wanajiona ila ndo kabila superior kabila kwa mbeya hata huyo msafwa akifika mjin anajitambulisha kuwa Mnyakyusa hasemi msafwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiishi mmkoa wa Mbeya utajua kwanini makabila mengine hayawapendi Wanyaki, ingawa wao hawakubali yani kama Wakoloni walivyowapendelea Wachaga na Wahaya wao wakajiona ndo wanajua kutawala makabila mengine, kiujumla Wanykyusa ni watu wenye kiburi na dharau awe mwanamke au mwanaume awe na pesa au asiwe na nazo kwao ni kawaida
hujakosea mkuu sisi Tunavibur na dharau sio kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongizi wetu bubu na mabomu ya mkono tutaendelea kuwananga popote pale kama hawafanyi kazi watarajiwayo kufanya.

La kwanza barabara ya kufungua wilaya kimaendeleo.
Katumba~Lwangwa ~Itete~Mbambo~Masoko~ Tukuyu barabara hii ni kilio cha miaka nenda rudi.
Wabunge wetu kimya utafikiri nao ni watazamaji tu.
NATUNZA COMMENT YAKO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenyoosha mkuu mana anatusemea na sisi wa Busokelo yeye aongelee ya huko kwao kila mtu apambane na khari yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe na unayemuunga mkono ni WABINAFSI wa hali ya juu.

Wananchi wanalia na barabara wewe unasema kila mtu apambane na hali yake!!!
Naamini ninyi ni mapandikizi ya "bhajanga" ili kupanda mbegu za mafarakano wilayani Rungwe.
Mtashindwa.
 
Ngoja niwaache Wahaya, niwaongelee Wanyakyusa. Wanyakyusa ni watu wa kusaidiana ila si watu wa kunyanyuana. Wanyakyusa (wanaoishi nje ya kwao) husaidiana kwa tahadhari sana, anayekusaidia huwa makini kuhakikisha hauji kumzidi hapo baadaye na ikitokea ukaonyesha mwekekeo wa kumzidi basi anaweza akakuanzishia tifu from no where, mara upo Pol8si mara Mahakamani. Hao ndiyo Wanyakyusa wa ugenini.
Na wanaposaidiana huwa wanahakikisha anakufahamu na kawaida kuna ubaguzi miongoni mwao.
Wanapokuwa na vikao vyao usitarajie utamkuta wa Keko Magurumbasi amechanganyikana na wa Upanga.
Kuhusu kunyanyuana huwa hawajadili mipango ya maendeleo ya kwao bali huibua mijadala ya majungu tu na kupingana kusiko na tija. Hawawezi kufikiria kwenda kusaidia shule, barabara au hospital, hawajadili mazingira ya elimu, afya n.k wanayopitia watu wa kwao sababu tu watoto au familia zao haziishi huko. Walio kwenye nafasi hawawezi kujenga ushawishi wa mipango kadhaa ya kimaendeleo ikafanyike kwao sababu hawai fikirii jamii ya kwao na watu wao, bali huwaza na kuishia katika level ya familia au ndugu tu.
Wanapenda sana sifa kwa kujisifia maendeleo ya kwao yaliyoletwa wakati wa mkoloni wakati wao hawajachangia hata moja. Akina Mwandosya ndiyo hao wanazeeka na sasa wanahitaji kupumzika. Lakini kwa bahati mbaya sana hakuna aliyeiga na kufuata mfano wake, mbaya zaidi walikua busy kujifanya wapo karibu na Mwandosya na wanamfahamu sana. Moyo wake na intelligence yake anazeeka nayo.

Kuna wakati Wanyakyusa likikua ni kabila la kujivunia, lakini siyo hawa Wanyakyusa wa hivi sasa, sijui wametengenezwa maabara!! Wamepausha na kuupoteza kabisa unyakyusa asilia.
LIKE KUBWA SANA KWAKO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikie eti wanawasilisha hoja zao kwa maandishi na sio lazima wasimame bungen kuchangia hoja ama kuongea matatizo ya majimbo yao.
Unayoamini binafsi achilia mbali.
Kujenga hoja na kuitetea kwa ajili ya wananchi wako ndo inamfanya mtu aitwe mwanasiasa mahiri.

Mtu mbunge ukiwa kimya miaka mitano mizima una faida gani kwa wananchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATUNZA COMMENT YAKO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia comments zako zenye mtizamo hasi juu ya wana Rungwe.

Unaweza kuwa pandikizi la kuingiza mfarakano kati yanwana Rungwe, tabia ambayo haikubaiki.

Wewe na yule anayeitwa Polepole mna misimamo fake kupendezesha waliowatuma.
Bottom line mi ni CCM na watu wanafiki na mamluki kama ninyi ni wa kuumbuliwa.

Tatizo letu kimaendeleo na kimkakati Rungwe ni barabara, no less no more.
 
Back
Top Bottom