Rungwe tuna wabunge bubu!

Rungwe tuna wabunge bubu!

Kufika tu kwenu ni kama kupanda punda wa msimu.

Ujionee aibu ukiwa pale Katumba, mnabanana kama viroboto.
Umetembea halmashauri ngapi kijana? Busokelo ipo mbali Sana ukilinganisha na halmashauri zingine kule watu hawana shida ya maji wala umeme na huduma za afya pia.
 
Me mwenyew kwetu ni busokelo pale kandete,nakushangaa sana unaposema kwetu hamna shida au nyie ndio wapambe wa atupele mbuge mzigo kuliko wabunge wote wa tz,maendeleo gani unayosema ww mburula ,nauli tu kutoka katumba ni 4000 wakati km ni 33 tu iweje useme hatuna shida?kyejo tuna gesi lakin je umewah ona faida yoyote iliyotikana na hiyo gesi pamoja na kwamba kila cku gesi inaondoka na barabara ni ile ile miaka nenda .punguza ushamba wako katika kitu ninachowalaumu watu wa busokelo ni kuchagua mbunge kama atupele na kumtosa msomi wa sheria Boniface mwabukusi na hii laana itatutafuna tusipompa 2020.
Labda huko kwenu lakini kwetu busokelo mambo safi tunakunywa tunalala tunaamka tunachuma chai, tunauza maziwa kwa asas tunapata pesa wewe ulitaka tununue ndege?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nakuunga mkono ndugu Mimi kwetu ni busokelo pale kandete ,huyo fala anaposema hatuna shida namshangaa sana ,sijui ndio hao wanaohongwa elfu mbili kipindi cha uchaguz hata sielew,busokelo tuna matatizo kibao sema kwa majuha hawawez kujua matatizo maana wao wakishiba ugali na lyanyungu basi hakuna shida ,mfano barabara katumba to mwakalel ingeboreshwa nauli ilitakiwa iwe 2000,alafu usafir ni shida sana watu mnapangwa kwenye vinoa kama ndiz ,pia watumishi kufuata mshahara hadi rwangwa au tukuyu mjini ASA unasemeje kule hamna shida?wakulima wanalima SNA viazi ila shida Barbara zikiwa mbovu wanalazimika kuuza gunia had elfu kumi alafu fala mmoja unasema hatuna shida
Kufika tu kwenu ni kama kupanda punda wa msimu.

Ujionee aibu ukiwa pale Katumba, mnabanana kama viroboto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nakuunga mkono ndugu Mimi kwetu ni busokelo pale kandete ,huyo fala anaposema hatuna shida namshangaa sana ,sijui ndio hao wanaohongwa elfu mbili kipindi cha uchaguz hata sielew,busokelo tuna matatizo kibao sema kwa majuha hawawez kujua matatizo maana wao wakishiba ugali na lyanyungu basi hakuna shida ,mfano barabara katumba to mwakalel ingeboreshwa nauli ilitakiwa iwe 2000,alafu usafir ni shida sana watu mnapangwa kwenye vinoa kama ndiz ,pia watumishi kufuata mshahara hadi rwangwa au tukuyu mjini ASA unasemeje kule hamna shida?wakulima wanalima SNA viazi ila shida Barbara zikiwa mbovu wanalazimika kuuza gunia had elfu kumi alafu fala mmoja unasema hatuna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza jifunze kuwa mstaarabu neno fala linakupunguzia credit! Hiyo barabara ipo miaka mingi kabla ya atupele tena kipindi hicho busokelo inazalisha kahawa atupele ana miaka mingapi bungeni? Waliopita akina Mwandosya tena waziri mwandamizi hakuiona hiyo barabara? Kwenda na noah umependa mwenyewe kuna bodaboda nyingi tu.Pia elewa ile ni rough road huwezi kuifananisha na lami lazima nauli iwe juu! Huduma muhimu Kama afya maji na elimu busokelo haipo nyuma nakushauri nenda Isange angalia kituo cha afya kinachojengwa halafu leta mrejesho
 
Nimekaa kwa ufupi Mbeya, siasa zake ni ngumu sana na zinabadilika kama kinyonga. Juzi nimekaa na wazee fulani wanyakyusa wanasema kwamba Tulia hapa mjini hapiti kwasababu Wasafwa wamekataa kuwa na mnyakyusa mwingine huku mjini. Nikasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................
Mimi Rungwe ni kwetu kabisaa na nimezaliwa huko. Ila kwa siku za hivi karibuni sijaona kama kuna mwanasiasa wa kuja kufanya jambo la maana. Watu sahihi na makini katika mkoa wa Mbeya kamwe hawapo na hawajawahi kuwepo katika siasa, wapo nje kabisa ya siasa.
Mtu kama Prof. Mwandosa pamoja na kuhudumu serikalini kwa muda mrefu lakini hakuwemo kwenye siasa za vyama. Akiwa nje ya mfumo wa siasa akaamua kuandika Proposal na kutafuta support ya kupeleka maendeleo huko kwao akianza na swala la umeme.
Wazee wa kule ndiyo walio simama na kumuomba awe mbunge wao lakini aka kataa mwisho wakaamua kumlazimisha kwa kutumia hoja ya kuwa wao ndiyo wazee na ni kukosa adabu kuwakatalia, ndipo alipokubali.
Lakini kwa hali ya hivi sasa sidhani kama watu wa Rungwe na mkoa wa Mbeya kwa ujumla kama wana uwezo wa kuona watu nje ya mfumo wa siasa za vyama.
Hao wanyakyusa wanaoishi Dar na kujenga tuvikundi twao kama ta Al shabaab kwa ajili ya kushirikishana harusi achana nao ni takataka kabisa. Wapo tu kujifanya wanashirikiana Dar wakati huko kwao miji inakufa na wazee wao wakipata taabu.
 
Mimi Rungwe ni kwetu kabisaa na nimezaliwa huko. Ila kwa siku za hivi karibuni sijaona kama kuna mwanasiasa wa kuja kufanua jambo la maana. Watu sahihi na makini katika mkoa wa Mbeya kamwe hawapo na hawajawahi kuwepo katika siasa, wapo nje kabisa ya siasa.
Mtu kama Prof. Mwandosa pamoja na kuhudumu serikalini kwa muda mrefu lakini hakuwemo kwenye siasa za vyama. Akiwa nje ya mfumo wa siasa akaamua kuandika Proposal na kutafuta support ya kupeleka maendeleo huko kwao akianza na swala la umeme.
Wazee wa kule ndiyo walio simama na kumuimba awe mbunge wao lakini aka kataa meisho wakaamua kumlazimisha kwa kutumia hoja ya kuwa wao ndiyo wazee na ni kukosa adabu kumkatalia, ndipo alipokubali.
Lakini kwa hali ya hivi sasa sidhani kama watu wa Rungwe na mkoa wa Mbeya ujumla kama wana uwezo wa kuona watu nje ya mfumo wa siasa za vyama.
Sasa watu kama wewe, masopakyindi ,Red Giant kwanini msiende kufanya mambo huko kiongozi ?? Kama leo hii Wanyakyusa mkiamua kurudi kejenga kwenu, Rungwe itafika mbali mno maana kama kusoma wengi wenu mmesoma sana.
 
Sasa watu kama wewe, @msopakyindi ,Red Giant kwanini msiende kufanya mambo huko kiongozi ?? Kama leo hii Wanyakyusa mkiamua kurudi kejenga kwenu, Rungwe itafika mbali mno maana kama kusoma wengi wenu mmesoma sana.
Unajua mkuu, kabla ya kujitokeza kuwaongoza watu kuna kazi kubwa ya kufanya. Kazi hiyo si tu kujinadi ili kuwashawishi watu wakuchague bali ni kuwa shape aina ya watu ambao ningependa kuwaongoza.
Binafsi ninafahamu vizuri sana changamoto za kule na nini kifanyike, lakini ningependa kwanza watu wenyewe wayajue mahitaji na changamoto zao na vipaombele vyao. Sihitaji mimi eti ndiyo niende nika waambie kuwa nitawafanyoa hivi na vile bali wao wainuke na kuziorodhesha changamoto na mahitaji na waseme tunataka mtu atakayetufanyia haya. Hapo mimi ndiyo nitajitokeza kuiomba hiyo kazi kwa kuwaambia haya wayatakayo nitayafa vipi na kwa timeline ipi kwa support kutoka wapi, hiyo ndiyo jamii ninayotamani kuiongoza. Watu ambao watanihiji au watakuja kunihoji kama sitatimiza mahitaji yao, lakini si watu ambao wataishia kulalamika.
Lakini kwa mindset za sasa hivi za kutaka kuahidiwa watafanyiwa nini, kwa kweli sipo tayari kujitokeza kuwaongoza watu wa aina hii.
Kwa sasa acha niendelee kuwa shape namna ya kuzitambua chsngamoto zao na kuzi present pia namna ya kuondokana na tabia ya kusubiri kuahidiwa.
 
Wabunge wa CCM hawezi kuitisha mikutano ya hadhara majimboni mwao kuzungumza na wananchi, wao wanavizia mikutano ya viongozi wa kitaifa tu ktk maeneo yao kujifanya wako karibu na wapiga kura wao. Maendeleo sio kwa mbunge kuleta hela tu au mpaka apate uwaziri bali ni pamoja na kupanga Mipango na wananchi wake na kusimamia utekelezaji.
 
Wabunge wengi ambao ni mawaziri au manaibu majimboni kwao wamefanya mambo ya ajabu, wamepeana miradi mingi sana, fuatilia uone, kuna mbunge wa kusini ep4r peke yake ana bil.2 wakati jimbo la pembeni yake ep4r wana milioni 132. na huyo mbunge hataki kwenda kunpigia magoti huyo mama kuomba amsaidie kumwombea miradi. ukiangalia sana hawa wabunge ambao ni mawaziri kana kwamba wamelishana yamini hivi ya kupelekeana miradi ya maendeleo majimboni kwao.ila majimbo ambayo wabunge wake si mawaziri wanapata shida sana kuendesha majimbo yao, na upinzani unaongezeka hasa jimbo lako likiwa jirani na la waziri, utadharaulika sana na wananchi wako kwamba hufanyi kazi, na mwenzako atasifiwa hadi na wananchi wako wakati si mbunge wako
 
Umetembea halmashauri ngapi kijana? Busokelo ipo mbali Sana ukilinganisha na halmashauri zingine kule watu hawana shida ya maji wala umeme na huduma za afya pia.
Mkuu umeambiwa mnabanana kama viroboto kwenda kwenu kwa vile hamna miundombinu ya maana.

Hayo ndio maendeleo?
 
Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya inadorora kimaendeleo.

Kwa zaidi ya miaka 35 wilaya hii haina mradi mkubwa wa maendeleo, HATA MMOJA. Wananchi wanaishi kwa kudra tu za Mwenyezi Mungu.

Kibaya zaidi nimetoka huko vijijini kwetu, watu wana hisia mbaya kuwa uongozi uliopo unawachukia. Sababu hazijulikani!

Mbaya zaidi wilaya ina wabunge ambao hawana weledi wala umahiri wa kuongelea matatizo ya wananchi katika hadhiri za kitaifa.

Mbunge wa Rungwe Mashariki(ambaye hata jina silikumbuki) na Mbunge wa Rungwe Magharibi, maarufu kama SH Amon, sijawahi kuwasikia wakipiga makelele yasiyo ya kawaida katika kuomba miradi toka serikalini, iwe viwanda, utalii au barabara.

Hawa wabunge ni mabubu kisiasa.
Wa Busokelo forma Rungwe Mashariki anaitwa Atupele Mwakibete kama sijakosea. Huyu ashukuru tu Mzee Mwandosya alimuandalia Mapito.
Huyu wa Rungwe Tajiri wa Mbeya Sauli Among Mwakafungu, ndiyo dudu nambari Moja. Sijawahi Muona alichokiongea bungeni wala Kukifanya Jimboni kwake! Yupo busy na Miradi yake huko Matema!
Kama ulivyosena masopakyindi, tuna Mkosi saana wana Rungwe, hususani Magharibi alikuwepo Emmanuel Mwambulukuti, hopeless kabisa akaja David Mwakyusa ndiyo Kabisa, hata sielewi watakumbukwa kwa Lipi Rungwe. Na sasa ndiyo huyu nwenzie na Jah People Kichwani (Std 7) ndiyo kabisa.
Wana Rungwe badilikeni CCM ni Maumivu tu maana hatuna Furaha pia Maendeleo.
 
Ataiba, Wanyakyusa wanaroho ya ubinafsi na dharau wanajiona wao ndo Kabila superior kwahiyo wanahaki ya kutawala makabila mengine, hata ukiangalia namna wakati wa kukata mkoa makabila mengi yaliyataka kwenda mkoa Wa Songwe
Nimekaa kwa ufupi Mbeya, siasa zake ni ngumu sana na zinabadilika kama kinyonga. Juzi nimekaa na wazee fulani wanyakyusa wanasema kwamba Tulia hapa mjini hapiti kwasababu Wasafwa wamekataa kuwa na mnyakyusa mwingine huku mjini. Nikasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie mpunguze uchawi, mnauwana sasa ndo maana watu wakitoka huko Rungwe hawarudi ninajamaa zangu tangu walivyomaliza F6 hawajawahi kurudi, Maeneo mengi ya vijiji imejaa migomba na mahame familia zilizosoma zinaogopa kukaa nyumbani
Mie ni CCM lakini hawa wabunge ni jiwe la shingoni, linazamisha maendeleo ya Rungwe.
Mimi ninawachallenge, katika muhula wao wananchi wamepata nafuu gani katika kuwepo kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetembea halmashauri ngapi kijana? Busokelo ipo mbali Sana ukilinganisha na halmashauri zingine kule watu hawana shida ya maji wala umeme na huduma za afya pia.
Umasikini mkubwa zaidi ulionao ni uwezo mdogo wa kufikiri.
Hii ya kufikiri yo are better off kuliko wengine Rungwe ndo unakupa hata umasikini wa kimwili.
 
Na nyie mpunguze uchawi, mnauwana sasa ndo maana watu wakitoka huko Rungwe hawarudi ninajamaa zangu tangu walivyomaliza F6 hawajawahi kurudi, Maeneo mengi ya vijiji imejaa migomba na mahame familia zilizosoma zinaogopa kukaa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo unalolisema ni la kudhania tu.
Uchawi unaosema ni tatizo la kijamii la waafrika waliokosa maendeleo.

Unachoshindwa kuelewa ni kwamba HAKUNA shughuli ya kiuchumi ukiacha kilimo,ya kuwaweka vijana vijijini.
Tunarudi kule kule, wabunge wetu wanakosa ubunifu wa namna ya kuleta maendeleo Rungwe.
 
Anzisheni biashara ya kusindika ndizi na mapalachichi na kusafirisha kwenda Uarabuni, Mbona Cuba wanasirisha ndizi kutoka kwao kwenda Ulaya?
 
Back
Top Bottom