Camcorowamodo
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 185
- 163
Itakuwa umelelewa na kukulia kwa babu yako, mawazo yako ya kishirikina, huwazi ila ushirikina tu.
Itakuwa umelelewa na kukulia kwa babu yako, mawazo yako ya kishirikina, huwazi ila ushirikina tu.
kesho ukaripoti sentro 😂mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Mamaa huyooo,Mama mama mama mama mama mama mama
mh!kesho ukaripoti sentro 😂
Kwa nini wasiwape wale jamaa wa mwiko nyuma. Watoe mwiko wawrke rungu
La kutuliza vurugu za Gen ZIli Watz wamepagawa 🤣🤣🤣
Sasa raisi Samia apewe rungu la nini ???
Hilo rungu lilikuwa na kipi cha ziada si wachonge tu marungu mengine!Bambo naye analitaka! Ila familia imesema inampatia Samia
Vijana wasithubutu kucheza na mama, watapigwa wachakae.Walimpatia kitambo sana