Kwa sababu kama hizi hizi za kipuuzi bunge lilizimwa live Tbc lakiñi kucha kuvhwa.liko live huko vichochoroni anakoshinda jiwe.Kwa nini uone kwamba ni njia ya kuua upinzani na si kukata matumizi ambayo si ya lazima?
Katika hili naiunga mkono serikali kwa asilimia zote. Kama hoja ni kupeleka madaraka na uwakilishi mkubwa wa wananchi katika usimamizi wa rasimali na matatizo yao, basi ni bora uongezwaji wa Wilaya na sio utitizi wa majimbo!
Isipokuwa kwamba katika mfumo huo mpya ambao Wilaya zitageuzwa kuwa eneo jimbo, basi ni vema Ofis ya Mbunge itanuliwe kutoa nafasi ya kuwa shirikishi zaidi kwa kuongeza watumishi ofini hapo.
Kwa sababu hizi hizi za kipuuzi watu walinyimwa fursa ya kutibiwa nje lakini serikali hii hii ya hovyo imevunja recodi kwa gharama kubwa na deni la matibabu ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu kwa zaisi ya bilioni 17 karibu kasi ya mara tatu au mara nne ya awamu zote zilizopita.
Ndani ya sababu hizihzi za kipuuzi ndipo tunashuhudia ujenzi wa majengo chini ya kiwango kama hostel ya Udsm. Ndio kipindi hikihiki pesa zaidi ya trilioni 1.5 zimeibwa na hazijulikani zilipo.
Ni kipindi hiki cha fikra mbovu ambapo tunashuhudia uchaguzi kila siku kuanzia 2015 hadi 2018.
Hapo tusiongelee ununuzi wa wana siasa na uendeshaji wa vikundi vya kihuni na ufadhili wake( wasiojulikana wanaojulikana).