Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,235
Reaction score
13,539
Leo ni leo kusuka ama kunyoa Court of Appeal, DAR kuhusu RULING ya pingamizi zilizotolewa na upande wa mjibu rufaa!

Updates..

Ruling tayari, mapingamizi 2 yametupwa, moja limekubaliwa, lakini kwamba in 14 days kasoro irekebishwe na kesi ya msingi iendelee







IMG-20121108-WA0007_thumb2.jpg
Godbless Lema akiwasili katika viwanja vya Mahakama ya Kuu jijini Dar leo.
IMG-20121108-WA0006_thumb1.jpg
Wapenzi wa Chadema wakimlaki Mhe. Lema mara baada ya kuwasili katika viwanja vya mahakama leo.
IMG-20121108-WA0004_thumb1.jpg
Jopo la Majaji likiwa tayari kuanza kazi.
IMG-20121108-WA0003_thumb1.jpg
Kutoka kushoto, Henry Kileo, Nuru Ndosi na Mhe. Godbless Lema wakiwa mahakamani leo.
IMG-20121108-WA0002_thumb1.jpg
Henry Kileo akiwa ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu, Dar es Salaam.
IMG-20121108-WA0005_thumb1.jpg


 
Hukumu si inasomewa Dar!? Wameshachakachua
 
Hatimaye leo ndio leo kwa hukumu kwa aliyekua mbunge wa Arusha Mjini bwana Godbless Lema ni leo na ulinzi mkubwa kuimarishwa kwa wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)! kwa wale watakao kwenda mahakamani tunaomba mtupe Updates!

Souce: Gazeti la Majira!
 
aiseeeee makamanda wote wa daraja 2,unga limited,sakina ,tengeru 2nawaomba m2pe update sisi watu wa ROMBO,,kila raheli kamanda LEMA na MUNGU hakutangulie
 
aiseeeee makamanda wote wa daraja 2,unga limited,sakina ,tengeru 2nawaomba m2pe update sisi watu wa ROMBO,,kila raheli kamanda LEMA na MUNGU hakutangulie......

Dah lugha hii ni kiswahili au kikwere, all the best CDM.
 
Penye ukweli haki itatawala. Hata hiyo rufaa ikitupwa uchaguzi utarudiwa na tutaona matokeo
 
Magwanda chali, leo yatatoka kamasi kwa kumlilia mwenzao.
 
Lema amechaguliwa na tofauti ya kura 19822,sizani kama jaj mku wa tz atautengua ubunge wake kwa ushahidi wakusikia,ila nawasihi wapigakura wake wazidishe maombi kama walivyofanya kwa yule jaj wamwanzo.ubunge huo sio wa lema ni wawatu wa Arusha.na tz kwa ujumla nahasa wanyonge,mungu mbariki jaj na umuepushie roho ya uchawi na atende ya allah,mjalie lema ujasili wa kupokea matokeo yoyote yale ee mungu watembelee wawili hao na uwaongoze kwa yote.amiii
 
Kwa hali yoyote Magamba wana hali mbaya, wachakachue au wasichakachue. Ubora kwao ni kuacha haki itendeke ili kuepuka fedheha kwanza kwa mhimili wa dola mahakama kuonekana unaingiliwa, pili kuepuka aibu watakayoipata baada ya matokeo kama uchaguzo utarudiwa haaaaah!!!!
 
Tunaiman Mungu ataenda kujibu na hatimae Lema atarud kazin. Tukumbuke haki inashinda dhuluma..
 
Mungu ni mwema,dhuluma na Haki ni kama maji na mafuta.Kila la kheri kamanda Lema,wao wana magari ya kuwasha sisi tuna Mungu
 
aiseeeee makamanda wote wa daraja 2,unga limited,sakina ,tengeru 2nawaomba m2pe update sisi watu wa ROMBO,,kila raheli kamanda LEMA na MUNGU hakutangulie.......

Mkuu hukumu inasomwa Dar na sio Arusha.
 
aiseeeee makamanda wote wa daraja 2,unga limited,sakina ,tengeru 2nawaomba m2pe update sisi watu wa ROMBO,,kila raheli kamanda LEMA na MUNGU hakutangulie.......

NATMAI HUKUMU INASOMEWA DAR IVO BASI TNAOMBA MUWAKILISHI TOKA MAHAKAMA YA RUFAA ILI SOTE WENYE NAFASi TUWEZE KUFUATILIA KWA UKARIBU, NA KUJUA YOTE YATAKAYO KUWA YAKIJIRI MAHAKAMANI.
 
Mungu yuko pamoja nae ni lazima ashinde tuu... na ubunge wake atarudishiwa.......
 
Back
Top Bottom