R renamaizo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 2,136 Reaction score 3,080 Aug 15, 2023 #1 Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 846 Reaction score 2,264 Aug 15, 2023 #2 Nenda builders center sasa iv wapo tabata matumbi.
R renamaizo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 2,136 Reaction score 3,080 Aug 15, 2023 Thread starter #3 oko majimaji said: Nenda builders center sasa iv wapo tabata matumbi. Click to expand... Hawana duka posta au kariakoo
oko majimaji said: Nenda builders center sasa iv wapo tabata matumbi. Click to expand... Hawana duka posta au kariakoo
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,857 Reaction score 3,391 Aug 16, 2023 #4 Ukiiosa nenda online ndio solution pekee, hii hapo AliExpress naona ni ni chini ya Elfu 5.
R renamaizo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 2,136 Reaction score 3,080 Aug 16, 2023 Thread starter #5 Baba Rhobi said: Ukiiosa nenda online ndio solution pekee, hii hapo AliExpress naona ni ni chini ya Elfu 5.View attachment 2718734 Click to expand... shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata
Baba Rhobi said: Ukiiosa nenda online ndio solution pekee, hii hapo AliExpress naona ni ni chini ya Elfu 5.View attachment 2718734 Click to expand... shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata
R renamaizo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 2,136 Reaction score 3,080 Aug 16, 2023 Thread starter #6 oko majimaji said: Nenda builders center sasa iv wapo tabata matumbi. Click to expand... mkuu unazingua builders center hawana kabisa izo ruler
oko majimaji said: Nenda builders center sasa iv wapo tabata matumbi. Click to expand... mkuu unazingua builders center hawana kabisa izo ruler
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,857 Reaction score 3,391 Aug 16, 2023 #7 renamaizo said: shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata Click to expand... mbona usafiri inaonekana hapo ni buku mkuu, jumla usafiri na bidhaa ni 3500/= mpaka inakufikia mkononi, sema hapo kuna wiki 3 za kusubiri.
renamaizo said: shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata Click to expand... mbona usafiri inaonekana hapo ni buku mkuu, jumla usafiri na bidhaa ni 3500/= mpaka inakufikia mkononi, sema hapo kuna wiki 3 za kusubiri.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,992 Reaction score 22,491 Aug 16, 2023 #8 renamaizo said: shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata Click to expand... muone huyu jamaa akuagizie kama hujawai agiza Mwl.RCT
renamaizo said: shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata Click to expand... muone huyu jamaa akuagizie kama hujawai agiza Mwl.RCT