[emoji23][emoji23][emoji23]Nikikupgia au kukutumia msg na namba yangu huwa ni ile ile miaka inaenda 10 sasa
ukaniuliza "NANI" au "wewe nani" au "nani mwenzangu" Huwa nakata simu on spot
na hapo hapo nafuta no.yako cause hata yangu kumbe hauna,Tukikutana tena face to Face tutapeana upya namba.
Nakubali, wabongo kwenda kwenye point mpaka ajizungushe weeeSipokeagi simu.
Huwa naiangalia inavyoita ikikata tu nakupigia ili niwe huru kumaliza maongezi.
Hakuna kitu nachoonaga uvivu kama kuongea na simu muda mrefu.
Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambayaNikikupgia au kukutumia msg na namba yangu huwa ni ile ile miaka inaenda 10 sasa
ukaniuliza "NANI" au "wewe nani" au "nani mwenzangu" Huwa nakata simu on spot
na hapo hapo nafuta no.yako cause hata yangu kumbe hauna,Tukikutana tena face to Face tutapeana upya namba.
Acha utani..mbona mbunye haileti hela zaidi ya kutoa hela..ila unaishobokea.Kama haileti hela,,, kwangu haimake sense.
HAPANA,tukikutana tena face to face tutapeana namba.Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambaya
Asante kwa muongozo.Kila binadamu ale Kwa urefu wa kamba yake...
Ukisha mpigia mara moja obviously atakuta miss call na kama haja callback hiyo ni case nyingineMtu namdai, sitachoka kumpigia hata anipe block
Kwahiyo unataka kusema huwezi mpa dem pesa hadi akuombe siyo?Uwa siotoi hela kwa manzi ambae sijamla
Basi na wewe acha kutukana mama zetu na dada zetu. F@ck you, and have a nice day!Acha kunikumbusha marehemu mama yangu
Hapo Sasa,Mtu apoteze muda kumtawala mtu[emoji13]Nan akutawale wewe??