mimi nadhani hili jeshi la polisi linatakiwa lisafishwe kabisa
Yale yale!!!!! Tukisema kazi imewashinda wanakataa...Vifo vya kutuhumiwa mpaka lini? Kuna agenda gani iliyofichika? It's too much jamani
Tena tuanze upya kabisaaaaaa hili lililopo limepoteza sifa. Siku hizi ukiona police wanapita mtaani kwako unaogopa sana. Yaani ukimuona police unatamani kukimbia .
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Kwa hiyo ndo auliwe? Mbona watu mnakuwa vilaza kiasi hicho? Kweli watu mkishalaaniwa uwezo wa kutambua mema na mabaya hupotea!
Sio kwa wema unaogopa wasije wakakudhuru. Yaani hatuwaoni kama walinzi wetu tena bali kama maadui zetu. Police yupo kwa ajili ya kulinda usalama wa raia na mali zake . Zamani ilikua ukiona police unajisikia uko salama na unapata amani sio siku hizi.Safi kama askari akipita mtaani mnatoka nduki ndo sawa. Mmezidi kuwazoea
too difficult to judge kwa sababu mazingara halisi hatuyajui. inawezekana jamaa ni jambazi mzuri na tajiri, sasa huwezi kwenda kichwa kichwa, nao polisi wanaroho jamani. msiwafanye wao ni mawe ambayo risasi ikilenga inaparaza tu.Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu, mfanyabiashara mmoja mjini Sumbawanga ameuwawa baada ya kuvamiwa na kushambuliwa kwa risasi na askari polisi, akiwa nyumbani kwake mjini Sumbawanga kwa kutuhumiwa kwa wizi.
MYTAKE.
Chondechonde polisi mnawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi.
Ungesikiliza taarifa hiyo hakika usingeandika ujinga huu. Mke? wa marehemu anadai polisi wameingia wakamkuta marehemu, mmoja wa askari akamwambia mwenziwe "tunamchelewesha huyu" mara risasi zikalia. Halafu unaleta upuuzi hapa?
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
Siwezi kukulaumu kwasababu inawezekana mimba yako ilitungwa kwenye nyumba ya wageni.
Ha! Jamaa pumbavu ee kwahiyo mshukiwa wa wizi huwa anapigwa risasi ha! Basi mahakama zifungwe
Hiyo inaweza kuwa maiti........unabishana na maiti
taarifa imesema alituhumiwa kwa wizi, hiyo ya kudai polisi wanawamaliza wananchi wasio na hatia huku wahalifu wakijivinjari bila wasiwasi inatoka wapi tena? Au unataka kujenga chuki kati ya polisi na wananchi? Wananchi wakilichukia jeshi la polisi wewe utafaidika na nini?
kwani si ilikuwa ni mazoezi ya kulenga shabaha live? Acheni polisi wafanye kazi zao...