Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Rais Kenyatta asaini Muswada wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 2014 punde huko Nairobi, sasa wanaume wako huru kuoa idadi ya wanawake kadri wawezavyo. Hii nimeipenda inatufaa sana hapa kwetu Tanzania.
Rais JK na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sikieni kilio hiki kwa niaba ya wana MMU pelekeni mswada bungeni tujizolee tu kama kenya hata kumi unaowa ni pumzi yako tu.
Rais JK na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sikieni kilio hiki kwa niaba ya wana MMU pelekeni mswada bungeni tujizolee tu kama kenya hata kumi unaowa ni pumzi yako tu.