Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,592
Nilicholishwa kipi..?? Na mihemko ya dini mm siijui..labda unijuze wewe..tzed...huyu utorong'ong'o ana mihemko ya dini hataki kuumiza kichwa yaani alicholishwa ndio alichomeza.....akubali tu kuwa hizi ni dini za watu walikaa wakaamua kuzileta na ndio maana wanabadilisha sheria zao kila siku. Juzi walikaa kabinet kuhusu ushoga, leo wamekaa kuhusu talaka....i dont kesho wakikaa wataongelea nini.................maana safari moja huanzisha nyingine
nakumbuka yule last papa alivyokuwa spain, alisema ruhusa kwa machangudoa kutumia kondom kuzuia ukimwi. Ukiona mambo ya imani yanakaliwa kikao ujue ni shida.
Hivi unajua unachokiandika wewe..?? Ndio huenda uliona wamekaa kujadili..Je! Mwisho ws majadiliano hitimisho lilikuwa kitu gani..?? Waliruhusu..??? Waeza thibitisha..???