Ruhusa ya Kufanya Kazi Nchi za Nje kama Afrika ya Kusini

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Habari wanajamvi!
Naomba kuuliza kama kunautaratibu wa kupata ruhusu kutoka nchini/serikalini unapopata kazi nje ya nchi kama Afrika ya Kusini. Na kama upo,
-mchakato wake ukoje?
-na je, utahitaji tena ruhusa (work permit) ya nchi unayokwenda kufanyia kazi?


Mwenye taarifa ya mambo haya naombeni anisaidie.
 
Hakuna ruhusa ya serikali ya TZ ila unahitaji work permit ya nchi unayokwenda kufanya kazi, otherwise utakuwa unavunja sheria za huko.
 
Na km ni SA, uende na POLICE REPORT inayodeclare kwamba huku Tanzania hujaharibu na huna criminal records!
 
Hapa Tanzania haina ulazima kuomba ruhusa. Ni haki yako. Ila utatakiwa tu uwe na passport na documents nyingine za muhimu toka uhamiajibna police. kuzipata itakubidi uwe na letter ya job offer toka huko "SA"
 
Back
Top Bottom