RUHAZWE JR nimerejea!...

Unapatikana wapi kwa wale watakaohitaji kukujulia hali???
 

Bishanga, mchakato wa kwenda kumuona huyu bwana ulikua mgumu, namba ya simu ilikua haipokelewi na wakati mwingine haipatikani kabisa, na huyu anayesema ni mdogo wake alikua anajitokeza hapa jukwaani na kupotea kama mwanga wa flash.
Sijui mlitaka mtu aendeje? Na kama ulienda wewe sjaona ubaya, ungeweza kutupa angalau taarifa ya matatizo aliyonayo na maendeleo ya mwenzetu huyu.
Huu ukimya wenu ndio unatufanya tushindwe kuwaelewa.
 
Last edited by a moderator:
hii naihifadhi kama ushahidi figganigga
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana mkuu,
pole sana na kila la kheri
 
vipi maendeleo ya khari yako Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…