Rugemalira afungua kesi Mahakamani dhidi ya Standard Chartered Bank na wengine

Soma vizuri, haya si malalamiko ya Rugemarila kufungwa (civil application), Ni criminal application kwa hiyo Rugemarila anaona kuna kosa la jinai limetendwa na hao washtakiwa na anaomba waendeshe hayo mashtaka wao binafsi "Private Criminal Prosecution Proceedings"
Tumezoea public prosecutions yaani mashtaka kuendeshwa na Jamhuri sasa hapa ni tofauti
Huyu Mzee ajengewe sanamu lake pale kwenye keep left ya Mlimani city kwakweli.

Kuna vijana wamesoma lakini akili zao zimechoka utadhani wana miaka 200.
 
We kama siyo hilo fisi na fisadi basi ni kuwadi wake. We shule ulikwenda kujifunza ufisadi? Nenda Tegeta au uliza tunaojua jinsi Rugemalira, Kikwete na mzee Ruxa walivyoasisi wizi huu. Utakuta wewe unayeandika hapa ulikuja juzi Dar wala hujui lolote wala chochote kumbaff mkubwa.
Empty words sasa Tegeta ndo kuna mafile???
 
Wanakua wako vzr maana ile huduma ya kumwaga gundi nyeupe isiyonata kwny Chupa yake si bado wanaipata kutoka kwny lile shimo Lako sild la Kule katikati ya bonde la ufa.
Mungu anisamehe, ila wewe unaonekana ama umelelewa katika familia isyo na maadili au ulilelewa vizuri ila ugumu wa maisha umekufanya ukose hata aibu ya kuwaheshimu binadamu wenzio walioumbwa na Mungu. MODERATORS kwanini huyu mtu hapigwi BAN amekuwa na michango iliyojaa matusi na isiyo na staha.
 
Mungu anisamehe, ila wewe unaonekana ama umelelewa katika familia isyo na maadili au ulilelewa vizuri ila ugumu wa maisha umekufanya ukose hata aibu ya kuwaheshimu binadamu wenzio walioumbwa na Mungu. MODERATORS kwanini huyu mtu hapigwi BAN amekuwa na michango iliyojaa matusi na isiyo na staha.
Aisee we bi. Chau hayo matusi yako wapi?
 
Wanasheria mtatusaidia kufafanua zaidi kuhusu hii summons.

IN THE RESIDENT MAGISTRATE'S COURT OF DAR ES SALAAM AT KISUTU.

MISCELLANEOUS CRIMINAL APPLICATION NO. 29 OF 2021.

BETWEEN
1. JAMES BURCHARD RUGEMALIRA - 1ST APPLICANT
2. VIP ENGINEERING AND MARKETING LTD - 2ND APPLICANT

VERSUS
1. STANDARD CHARTERED BANK - 1ST RESPONDENT
2. STANDARD CHARTERED BANK (HONG KONG) LTD - 2ND RESPONDENT
3. STANDARD CHARTERED BANK TANZANIA LTD - 3RD RESPONDENT
4. STANDARD CHARTERED BANK (MALAYSIA) BERHAD - 4TH RESPONDENT
5. WARTSILA NETHERLANDS B.V. - 5TH RESPONDENT
6. WARTSILA TANZANIA LIMITED - 6TH RESPONDENT
7. SANJAY RUGHANI - 7TH RESPONDENT
8. SAMIR SUBBERWAL - 8TH RESPONDENT
9. ABRAR A. ANWAR - 9TH RESPONDENT
10. BILL WINTERS - 10TH RESPONDENT
11. HAKAN AGNEVALL - 11TH RESPONDENT


CHAMBER SUMMONS
Made Under Sections 99(1), (99(3), 128(1), 128(2), 128(4), 194A(4) and 392A(2) of the
Criminal Procedure Act (CAP 20 R.E. 2019) and Section 10(1)(b) of the National
Prosecutions Service Act (CAP 430 R.E. 2019 and Section 41(1) of the Magistrates'
Courts Act (CAP 11 R.E. 2019)

________________________________________

LET all the above named parties or their Advocates Appear/attend before Hon. Huruma A. Shaidi - Principal Resident Magistrate in Chambers on the 10th day of November 2021 at 9.00 o'clock in the forenoon or soon thereafter as the Applicants may be heard on their application that:

1. The Hon. Court be pleased to grant to the Applicants permission to institute and to
conduct Private Criminal Prosecution Proceedings against the above named
Respondents, under the above cited provisions of statutory law.

2. The service of the Application upon the 1",2,3,4,7,8,9", and 10 Respondents shall be deemed to have been duly made to them by serving a copy of the Application on their Advocate in Tanzania at the following address....
View attachment 1990073
Naomba kufahamu kuhusu hii PRIVATE CRIMINAL PROSECUTION how is it nevitable kwa sheria zetu za mwenendo wa makosa ya jinai,

Ina maana, Jamhuri haina lake hapo?
Nani atagharimia hii kesi na mahabusu iwapo haina dhamana?

Kuna jambo hapa
 
Aisee we bi. Chau hayo matusi yako wapi?
Moderators wanatakiwa wafanye kazi yao vizuri maana haiwezekani watu wazima wamekaa wanapingana kwa hoja hapa, wewe unakuja na maneno machafu yasiyo na staha hauheshimu watu ni kana kwamba wewe ni robot fulani hivi, hauamini katika weledi unakuwa kama mtu wa vijiwe vya wahuni, inasikitisha sana na sio mara moja.
 
Tulisema raisi ajae atalipa Sana fidia ,ngoja wazee wa bureau de change na waliovunjiwa kimara nao wafungue kesi
Mimi ni muathirika wa "ubomoleshaji Kimara" na pia "uporaji wa kidola" wa maduka yetu ya kubadilishia hela.
Mchakato umefika pazuri.
 
Tanzania inahitaji kuwa na watu wa aina ya Rugemalira, wapiganaji wasiochoka katika kudai na kuhakikisha kilicho chao kinapatikana bila woga au kumpigia magoti mtu au utawala gandamizi.
Mkuu bagamoyo , moja ya vichwa bora kabisa vya "utengenezaji mahela" kihalali tuliobarikiwa nao Tanzania.
Ile project ya bomba la mafuta ingekubalika,saa hizi tungekuwa mbali sana.
P. Rutabanzibwa anamjua vizuri.
 
Magu ndo alimuweza huyu jamaa, karudi anaanza tena michezo yake.
Mahakamani huyu anakula ,kunywa na kulala huko.
Hongo anahonga popote kuweka kilainishi.
Korea watu kama hawa ni bang bang bang mnamsahau.
Kuna dogo mmoja alionewa na Bank X alipokuwa akifanya kazi.
Aliachishwa kazi kimakosa na akatangaziwa "mizengwe" kibao.
Aliishitaki Bank X, na mahakama imeamua alipwe 400 milioni kwa "uonevu" dhidi yake.
Dogo yupo Halmashauri moja ya Mkoa wa Pwani sasa, anasubiria mpunga wake.
Tuache kukubali kunyanyasika kwa kuogopa kuonekana "wapiga deal".
 
Hujui usemacho na ungejua hiyo sheria wala usingebwata hivi. Kimsingi, tunazo sheria za kijambazi zinazowawezesha majambazi kama nyinyi kujifanya wajanja. Uzuri ni kwamba kesho litakufa na kuacha kila kitu na kuondoka maskini. Hata adhabu ya kukaa gerezani miaka minne si haba itakuwa imeibomoa afya yalo.
Mtu kama huyu anafanya ivyo kwa ajili ya watoto wake na wajukuu zake ili waje waishi maisha mazuri uko baadae
 
Huyu mzee ni mpambanaji balaa!
Mzee anapambania kizazi chake kije kuishi maisha mazuri uko baadae,sie wengine kupambana kwetu lau tungewekewa japo vijumba vya urithi basi leo hii tusingehenyeka ivi kutoa jasho usiku na mchana
 
Moderators wanatakiwa wafanye kazi yao vizuri maana haiwezekani watu wazima wamekaa wanapingana kwa hoja hapa, wewe unakuja na maneno machafu yasiyo na staha hauheshimu watu ni kana kwamba wewe ni robot fulani hivi, hauamini katika weledi unakuwa kama mtu wa vijiwe vya wahuni, inasikitisha sana na sio mara moja.
Aisee we dada Kama umevurugwa na Mumeo usiniletee shida zako hapo.Kayajenge na Mumeo huko nyumbani.
 
Back
Top Bottom