Rugemalira afungua kesi Mahakamani dhidi ya Standard Chartered Bank na wengine

Mkuu bagamoyo , moja ya vichwa bora kabisa vya "utengenezaji mahela" kihalali tuliobarikiwa nao Tanzania.
Ile project ya bomba la mafuta ingekubalika,saa hizi tungekuwa mbali sana.
P. Rutabanzibwa anamjua vizuri.
Huyo ni tapeli, nashangaa mnavyosifia matapeli
 
Fisadi wameanza tena kutusumbua. Mwisho ya yote wanataka kuidai nchi. Watu hawa mahali pao ni jela. Samia anafikiri wezi wa mali ya umma ni watu wa kuelewana nao. Nchi inahitaji magufuli mpya 2025.
Hahahaa mkuu kama ni fisadi mbona DPP amefuta mashtaka? Au kapenyeshewa mlungula?
 
Nadhani wengi wetu tunaongea maneno ya mtaani tu, ila hatujui issues zilizopo hapa. Wengine wanaona Ruge kama tapeli ameona upenyo wa kula pesa. Nadhani tuwe wasikivu zaidi kuliko kuongea mambo tusiyokuwa na taarifa nayo.
 
Hebu tupe basi unayoyafahamu mkuu kama unafahamu lolote.
 
Back
Top Bottom