INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,266
kwamba anatumia fulsa zilizopo za wasanii kutokujua na kuwaibia kweli ruge ni bogusmumesikia yeye kudhurumu wasanii ni fursa kazi kwenu
kwamba anatumia fulsa zilizopo za wasanii kutokujua na kuwaibia kweli ruge ni bogusmumesikia yeye kudhurumu wasanii ni fursa kazi kwenu
sasa hapa jide ndo akakasikrika?yeye kama hawalipi vizuri wafanye nini?jide kumbe nae ana makosajamaa naona anaunyaunya tu ana lolote kifupi ameanzisha bend ambayo imechukua wasanii toka machozi band ugomvi ndo uwo mkuu
Ruge japo sina imani nae sana, lakini ameongea vizuri na ametoa nafasi akutanishwe na Jide wayamalize!
hahahahahahahahahaha..poti unanichekesha..kwani mengi wakati akitaka kuongea yake huwa anaenda habari maelezo?...unakumbuka hata spika sita alimjibu mh malima kuwa hiyo ni redio binafsi..mumuache..nanyi muacheni aomgelee kwenye kituo chake...hahahahahaha..wakongwe mna mambo.!!...jide akubali ushindani na changamoto...eti anajiita iron lady na asha baraka asemejeee?Kwa watu wageni katika kufuatilia masuala ya burudani na muziki hapa nchini wanaweza kumuona Ruge kwamba ni mtu mwema sana Lakini kwa wafuatiliaji makini tunafahamu kuwa ruge ni kupe namba moja hapa nchini kwa wasanii wa muziki nchini.
Kwakuwa anayo fursa ya kutumia redio yake kuongea chochote na asiulizwe maswali magumu, nampa changamoto ajitokeze habari maelezo ama aite waandishi wa habari afanye nao press conference aone kama hajaumbuka.
hahahahahahahahahaha..poti unanichekesha..kwani mengi wakati akitaka kuongea yake huwa anaenda habari maelezo?...unakumbuka hata spika sita alimjibu mh malima kuwa hiyo ni redio binafsi..mumuache..nanyi muacheni aomgelee kwenye kituo chake...hahahahahaha..wakongwe mna mambo.!!...jide akubali ushindani na changamoto...eti anajiita iron lady na asha baraka asemejeee?
ndio na kisa cha sebastiani ndege kuanzisha bendi ya sky light ni baada ya jide kumtukana seba pale nyumbani lounge...na ndio maana alisema jide we pambana tu na skylight cz ndio unajua ukweli
Anaweza kukubali mazungumzo tu endapo Ruge atakubali kurejesha wanamuziki wake alopora.Jide atakubali kweli kukutanishwa?
ttz lenu humu mtu akiongea kitu..kila mtu mjuaji..niliwahi kusema huko nyuma kuwa ugomvi wa jide na clouds ni "SKYLIGHT BAND"...mijitu ikaaanza kelele...ukitaka nifuate PM utanielewa...hahahahahahahaInaonekana unajua mengi kuhusu hz bifu ........... waonaje ukitiririka km gt wa jf!?
Dah poti kweli umenikumbusha mambo ya mzee Mengi na mzee wa SMG Malima.
Tatizo hapa ni watu kutumia vyombo vyao vya habari kutengeneza propaganda. Kiukweli kabisa namuona Jide kuwa ni mwanamke anaayejaribu kujitambua na kusimama mwenyewe.
Hoja zote za msingi alizozitoa na kuzielekeza kwa Ruge na mshirika wake Kusaga sijasikia akizijibu isipokuwa alichofanya ni kuhamisha mashambulizi na kuayelekeza porini. Lakini kwa mtu yeyote aliye makini atakuwa amebaini waziwazi kuwa alichokisema Jide ni cha ukweli na Ruge na mwezake Kusaga lazima wabadilike, waachane na tabia yao ya kikupe ya kunenepa kwa kuwanyonya damu wasanii wa muziki.
Anaweza kukubali mazungumzo tu endapo Ruge atakubali kurejesha wanamuziki wake alopora.
Haya sasa!!! BONGO FLEVA kapigwa BAN siku nzima.....kumbe invisible yuko na kwenye Redio HATAREEEEEE
Ruge ndio aliyemtoa matongotongo huyo mnaemwita Jide; bila hivyo hata huyo mumewe asingemuona!!! Hiyo wanayocheza ni cinema tu kwani hawa walishalala chumba kimoja walipokwenda kwenye KOLA kule south siku za nyuma na ikaleta SOOOOO!!!