Ruge wa Clouds yuko live kumjibu Jide

Ruge wa Clouds yuko live kumjibu Jide

Ukiona Ruge amezungumza ujue tayari kashashikwa pabaya.

Na kwa nini aombe kukutanishwa sasa na sio kabla ya haya mambo kwenye kwenye public domain?

Skylight band ni ya Sebastian Ndege ...... sijui kuna uhusiano gani na Clouds.
 
SKYLIGHT inapewa promo na clouds...ndio ttz la jide....hahahahahahaha...jaribu kumulewa ruge...kidogo...
atumie...'fursa" nyingine maana yake muziki aachane nayo...hahahahahahaha
 
kazungumza mengi bwana Ruge...... 1) kuna radio 82 nchini why ung'ang'anie nyimbo yako ipigwe clouds? 2) clouds ni radio binafsi ya kibiashara wana maximize profit.(usimpangie mangi bidhaa za kuuza). in short bana hapa ni maslahi ya kibiashara ninachoshauri hapa upande wa bimkubwa ajaribu ku "THINK OUT OF BOX"
 
Ruge ametoa amri kam bosi, leo siku nzma isipigwe bongo fleva redioni kwake. kuonesha ni private radio with own decision
 
Asee jamani eeeeee kuna aina nyingi za management kama hujapitia huko utaishia kulalamika till jesus come back
 
Ruge kasema kuna mitandao inamuandika vibaya na ni kwanini serikali inarusu? ametoa mfano wa ze-utamu. Mi nahisi ni Facebook, Naomba serikali iufungie huo mtandao. Au mnasemaje wadau?
 
SKYLIGHT inapewa promo na clouds...ndio ttz la jide....hahahahahahaha...jaribu kumulewa ruge...kidogo...
atumie...'fursa" nyingine maana yake muziki aachane nayo...hahahahahahaha

Kwa watu wageni katika kufuatilia masuala ya burudani na muziki hapa nchini wanaweza kumuona Ruge kwamba ni mtu mwema sana Lakini kwa wafuatiliaji makini tunafahamu kuwa ruge ni kupe namba moja hapa nchini kwa wasanii wa muziki nchini.

Kwakuwa anayo fursa ya kutumia redio yake kuongea chochote na asiulizwe maswali magumu, nampa changamoto ajitokeze habari maelezo ama aite waandishi wa habari afanye nao press conference aone kama hajaumbuka.
 
lol sahizi wameweka CAROLINA mama mbona wengine wanacheza kwann wewe umenununa, afu huu si ni wa SKYLIGHT BAND duuuu, kweli hii bifu
 
amesema ni ya sebastian ndege

ndio na kisa cha sebastiani ndege kuanzisha bendi ya sky light ni baada ya jide kumtukana seba pale nyumbani lounge...na ndio maana alisema jide we pambana tu na skylight cz ndio unajua ukweli
 
gospel song za nn tena?


Unashangaa nini mkuu?Amekwambia ni redio binafsi na inamaamuzi yake!!! Sijashangaa kusikia wakipiga gospel maana kwa maelezo yake kasema Rose Muhando amepiga mil 25 kutoka kwenye ringtones, labda maana yake Gospel ndiyo miziki itakayowapa profit kubwa zaidi.
 
kazungumza mengi bwana Ruge...... 1) kuna radio 82 nchini why ung'ang'anie nyimbo yako ipigwe clouds? 2) clouds ni radio binafsi ya kibiashara wana maximize profit.(usimpangie mangi bidhaa za kuuza). in short bana hapa ni maslahi ya kibiashara ninachoshauri hapa upande wa bimkubwa ajaribu ku "THINK OUT OF BOX"

Ruge amekwepa hoja za msingi zilizotolewa na Jide. Suala si kwamba Jide anataka nyimbo zake zipigwe clouds fm bali mojawapo ya hoja yake ni Ruge na Kusaga kuwafanyia fitna wasanii wasiotaka kukubaliana na matakwa yao. Wako tayari kutumia fedha kuwarubuni wadau wengine katika tasnia ya muziki kuhakikisha kwamba wasanii wasiokubaliana na matakwa yao hawafanikiwi. Kwa sababu ya kuendekeza ukupe na ubabe wamefikia hatua ya kuwatisha wanamuziki wengine kutofanya collabo na Jide, kwamba yeyote atakayethubutu nyimbo zake hazitapigwa cloudsfm na watamshughulikia kisawasawa.

Kama Ruge anamshauri Jide atafute fursa nyingine na kwamba sio lazima afanye muziki, na mimi namuuliza kwanini na yeye asitafute fursa nyingine kuliko kuendelea na hii ya kuwanyonya wasanii wa muziki? Wakati ule Mr. Sugu anapambana kuna watu walikuwa hawamuelewi lakini nadhani sasa kupitia hili zogo na Jide watu watakuwa wamefahamu kuwa Ruge ni kupe aliyekubuhu kwa kiwango kikubwa kiasi gani. Kwamba wameamua kuanzisha skylight band kwa lengo la kupambana na kummaliza Jide, sasa kama huo si wendawazimu ni nini? katika hali kama hiyo wanawezaje kukwepa lawama za kutaka kummaliza Jide kimuziki?
 
Hana jpya.. anatapatapa 2..kashkwa pabaya..tatzo hajielewi anachongea....n anajua kuwa wao ni .maharamia kwa kaz za waSanii hata huyo diamond cku akimkataa ruge asiwe manager wake.. hatopgwa radion. tatizo hawapend wasani wajitawale..wanataka wawatawale na kuwagawa ili wawa nyonye vzuRi...wanapata support ya serikal.. .jayde endeleza mapambano mpaka waombe msamaha...mwanzo walijua nguvu ya soda sasa wameona moto wake..usirud nyuma jayde mpaka wakubal kama kwa sugu....kuna siku wataka chin... Ata daud alimwangusha goliati sembuse clouds.. rud nyuma mwombe support sugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom