Ruge wa Clouds yuko live kumjibu Jide

twatwatwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
2,066
Reaction score
421
ile cinema ya jide dhidi ya ruge na wajanja wenzie inaendela sasa kwa ruge kumjibu jide tegeni sikio kwenye redio cloudsfm sasa



 
Namsikia huyu mwizi...
anasema eti wamesajili TCRA n.k
anaendelea kutiririka
 
Kumbe ugomvi wao ulianza siku nyingi.
Clouds inasupport SKYLIGHT band badala ya MACHOZI band.
 
Ruge ametunza mpka meseji.lol.ugomvi skylight band chanzo moja wapo
huu ugomvi tununue pop corn na coca tutizame
:coffee::coffee:
 
Kumbe ugomvi wao ulianza siku nyingi.
Clouds inasupport SKYLIGHT band badala ya MACHOZI band.

Hiyo SKYLIGHT ni ya nani na kwa nini Jide awe na bifu nayo? Lete ripoti.
 
Chonde Chonde fursa hiyo isinyonye wasanii wachanga Tz aangalie hapo
 
jamaa naona anaunyaunya tu ana lolote kifupi ameanzisha bend ambayo imechukua wasanii toka machozi band ugomvi ndo uwo mkuu

Kwa mtindo huu lazima wazinguane mambo ya rhdhki hayo fitina muhimu.
 
Saida Kaloli njoo na wewe ulalamike usikae kimya...tunajua ulichofanywa but umekaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…