jamani hata Joyce Mhavile alipiga marufuku wimbo wa Nungayembe usipigwe Radio One yeye akiwa ITV ndio kusema yuko share na mengi?kwa uzinzi na uhuni wa ruge kufukuza watu kazi... ingekuwa ameajiriwa na kusaga nae si angefukuzwa kazi... ila yeye ndio bosss... hakuna wa kumfanya chochote clouds... anafanya anachotaka..
kuna siku alisema hakuna kupiga bongo fleva clouds siku nzima... na haikupigwa kweli
....teh teh teh...punguza kusoma magazeti ya udaku afu wajifanya mdau!Sasa hata Kama unashindwa kujua kuwa Kuna watu wanaitwa Wazee wa Powder (Drug Lords) wewe Si mshamba Tu! Huna unachojua!
Sio mmiliki, ni director tu, hana share yoyote. Sema ni mshikaji na Kusaga, ndio maana akampa ukuu wa Idaya ya Vipindi na MatangazoNi mmoja ya wamiliki
Kilichomuokoa Sugu ni uheshimiwa..Vinginevyo angezimwa
Kweli kabisaKilichomuokoa Sugu ni uheshimiwa..Vinginevyo angezimwa
Mi sio boss
Kwahiyo hoja yako ni ipi hapo???Pole mdau,hizo field unazonipa wala hazinihusu,me nna maisha yangu nashukuru nayamudu,sijazaliwa kijijini na wala si ufahar kuish mjini,
Hujaeleweka unataka kumaanisha nn!!Wewe wacha kuropoka
Mimi na Idea na wewe una pesa kwa hivyo tunakubaliana 60% na 40% au 70/30.
Hivyo ndivo ilivyo.
Kama mwenye pesa kakudhulumu Idea yako WIVU unatoka wapi.
Wewe ni mmoja wa watu wengi humu JF ukidai haki yako au ukisema kitu kimewakwaza. Utasikia "WaBongo bwana Wivu na Roho mbaya"
Point yako hapo nn sasa??Kwanza ile studio ya taifa alishairudisha.?? Maana aliihodhi.
Plus mtu akihojiwa usiamini kila kitu HV unakumbuka Lulu na kanumba walipohojiwa hapo mkasi kuhusu kuwa kwenye mahusiano walijibu nn na mwisho wa siku kikatokea nn.
Watu wanaashika bible mahakamni na misahafu na wanadanganya sembuse ndani ya Mkasi