Ruge naye anazimikia mapigo ya CHADEMA?

Kusema ukweli combat ni vazi linalopendeza, hata magamba naona nao wanazimodify kaunda suti zao ziendane na combat za makamanda.
 
Huyo Kibonde ni kibonde kweli wala sio utani,wote na bosi wake Ruge ni wachovu lakini wataeleweka tu,mimi hata Clouds nime-loose interest nayo hasa nikisikia sauti ya kibonde na utumbo wake wa kuku anaotoa,
Anajipendekeza kwa magamba,njaa hizo wakuu,wengine hawana uwezo wa kuzivumilia
 
Back
Top Bottom