Jina unalotumia tu linakupendekeza usela.hahahAlistahili kuzikwa kisela tu, alikuwa msela tu pia. Hivi Mbinguni kuna benchi la wasela!!? I like masela
Unazungumzia ni heshima kwa Ruge au kwa waliobaki?Huko ni kujipa sympathy tuu...
Ni heshima kwa familia aliyoicha na kama kusema ni heshima kwake kwa aliyoyaacha hapa duniani kama angezikwa na Kanisa....
Wakristo Wakatoliki Jumuiya ndogo ndogo ni muhimu sana
Umeeleweka vizuri mkuu,niongezee kitu kidogo,Pia Ruge kwa kuumwa muda mrefu nadhani alipata fursa na wasaa wakutubu nakujirudi kwa Mungu wake,kwahiyo possible jamaa anaweza tunaweza mkuta ktk pepo.Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Kaka hapa kidogo leo nimeingia ukakasi na maandishi yako, nadhani swala la peponi au motoni ni la kiroho ndani ya mtu, naweza saidia watu na bado nisiwe na roho safi.Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani
Sasa kama ni hivo...then why ata uyo katekista alimuombea kama ni mazuri pekee ndo yatakayokupeleka peponi?Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, Je, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na KATEKISTA?
Ukitilia maanani ukaribu wa familia ya marehemu na Askofu M. Kilaini
Ujirani uliopo kijijini kati ya Askofu na Prof. Mutahaba
Mazingira ya mwamko wa kidini ya RC uliopo hapo kijijini
Ujirani na Parokia yake ya Itahwa
Ushiriki wa viongozi hao wa dini katika kuaga mwili wa Marehemu hapo Bukoba Club/Gymkhana
Mwisho wa Mwisho ibada ya mazishi ikaishia kuendeshwa na KATEKISTA ikishuhudiwa viongozi hao wa kanisa kushindwa kushiriki ibada hiyo.
Kwanza Sio utamaduni wa eneo hilo kwa mtu kama wa aina ya Mutahaba.
Mwisho wa RUGE imekuwa simanzi kubwa kwani mbwembwe za mitaani zimezimwa na KANISA lake.
The very last RESPECT imeua yote.
Alistahili kuzikwa kisela tu, alikuwa msela tu pia. Hivi Mbinguni kuna benchi la wasela!!? I like masela
Atakua kapewa na "boss" Ruge ilo jinaHata Mimi nashangaa, mama mzima anaitwa baby as if walikosa majina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani makond juzi alisema atasema neno bukoba amesema neno gan?mliokuwa mnafutailia mtueleze tuelewe waja
Nasikia kapewa nafasi ya kuweka taji, mtu ambae hatambuliki angepewa hiyo nafasi?
Sent using Jamii Forums mobile app