Natamani ufungue hako ka plasta mdomoni
Naomba kujua au kufahamishwa je mpaka hivi sasa natiririka na naserereka hivi Rais wa Misiba yote ya Watu wote maarufu, Wasanii na wenye Pesa Tanzania nzima Steve Nyerere amepewa Jukumu gani / lipi la kusimamia na Kamati ya Msiba na Mazishi ya Mpendwa wetu Ruge Mutahaba?
Polw sana Tumuom ew na tuoshi maisha ya rugw simfahamu kwa karibu zaidi ya kumwangalia kwa tv ...
Pole
HIVYO CHANJO IPO??binadamu wanajisahau serikali imepiga kampeni ya chanjo ya hepatitis b na watu hawakuonekana kwa wingi
Anaanza nyingine kuelekea kwa Sir GodSafari ameimaliza
Kila kitu kina unuhimu wake mkuu hapo ubongo na moyo umeachakwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
Na wote wametwaliwa tarehe moja yaani tarehe 26!! Amina ilikuwa June na huyu Boss February 26!!Nimeumiaaaa mnoo baada ya msiba wa Amina Chifupa huyu wa pili nisie na undugu nae kuumia!!!Mungu wale faraja watoto wakeee!!!+
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Mhaya??Kumekuwa na kasumba yakuzika watu maalufu dar es salaam pindi wanapo kufa tafadhalini sana rugemarila mtahaba ni muhaya wa kabale bukoba mleteni azikwe kwao.
Wengine clouds tumeanza kuisikia tulipo enda vyuoni bila yeye mawingu ya clouds fm sijui kama tungeyasikia wakazi wa mkoa kagera. Tunaitaji kumuaga mpenzi wetu, tafadhalini msije kututhulumu hii fursa. He was an ikon of kagera and w'll still be.