TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Natamani ufungue hako ka plasta mdomoni

Najua magumu ya ndoa...lakini mwanamke unayeshabikiwa mitandaoni wanakusifu una hekima na blah blah kibao..unamuacha mzaz mwenzako unaenda kufunga ndoa na street guy hiv zama alipungukiwa nn!

Eti mie niachane na hubby halafu at same moment naolewa na kiduku boy huyo zama wenu mnaomuimbiaga nyimbo za kumsifu insta eti anabusara nakuambia ataumia had anaingia kaburini..mwanamke timilifu ukiachana na mumeo kaa kando na masuala ya kuolewa kbs!najua huwez nielewa!
 
Kumekuwa na kasumba yakuzika watu maarufu dar es salaam pindi wanapo kufa tafadhalini sana rugemarila mtahaba ni muhaya wa kabale bukoba mleteni azikwe kwao.

Wengine clouds tumeanza kuisikia tulipo enda vyuoni bila yeye mawingu ya clouds fm sijui kama tungeyasikia wakazi wa mkoa kagera. Tunaitaji kumuaga mpenzi wetu, tafadhalini msije kututhulumu hii fursa. He was an ikon of kagera and w'll still be.
 
Kumekuwa na kasumba yakuzika watu maalufu dar es salaam pindi wanapo kufa tafadhalini sana rugemarila mtahaba ni muhaya wa kabale bukoba mleteni azikwe kwao.

Wengine clouds tumeanza kuisikia tulipo enda vyuoni bila yeye mawingu ya clouds fm sijui kama tungeyasikia wakazi wa mkoa kagera. Tunaitaji kumuaga mpenzi wetu, tafadhalini msije kututhulumu hii fursa. He was an ikon of kagera and w'll still be.
Wewe ni Mhaya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom