Ruge Mtahabwa, Umebug men!!!!!

Ruge Mtahabwa, Umebug men!!!!!

hapa kuna uongo kwani kama walikuja kwa ndege tufanye watu 50 kwa laki3 return ticket ni sawa na milioni 15 tu! sasa hiyo milioni 100 ya ticket inatoka wapi?

walicho kosea ni kuileta timu mwanza ...ushabiki wa soka mwanza ulisha kwisha kwani umetawaliwa na magod father wengi wa CCM. Kama hauko ccm hata kama una mwazo mazuri kiasi gani watakupotezea tu
 
hapa kuna uongo kwani kama walikuja kwa ndege tufanye watu 50 kwa laki3 return ticket ni sawa na milioni 15 tu! Sasa hiyo milioni 100 ya ticket inatoka wapi?

Walicho kosea ni kuileta timu mwanza ...ushabiki wa soka mwanza ulisha kwisha kwani umetawaliwa na magod father wengi wa ccm. Kama hauko ccm hata kama una mwazo mazuri kiasi gani watakupotezea tu

yeah, inaweza kuwa justification yao ili wawaibie watu, kwa sababu jamaa ni professional thiefs
 
ha ha ha ha Mphamvu funguka zaidi
Au kama Twanga Pepeta, wooote mkishamaliza kuimba na kunengua viuno inabidi mumuache Abuu Semhando (Mungu amlaze mahala pema) afanye kazi yake ya kukaanga chips na MCD kwenya tumba...
 
Hiyo ni biashara...ina faida na Hasara...sioni shida.Japo siipendi Clauds...kama business professional naona ulichoandika ni Pumba tu.
 
acha chuki na ruge,hii ilikuwa biashara faida na hasara vyote vinawekana kutokea,pia usisahau hujuma this is TZ.mm nampongeza sana ruge asivunjwe moyo na watu wasio wanamichezo,kama amedondoka asijali futa vumbi songa mbele,soka la TZ linaitaji watu jasiri kama nyie mnaothubutu,siku nyingine tuletee kaizer chieaf ikiwezekana zaidi fc bacellona.
 
wajasilia mali wameona mwanya nyie mna lalama mitandaoni,huku wenzenu wanazidi kutengeneza pesa,tujitahidi kuwa wabunifu la sivyo tutakuwa tukilalama ktk mitandao na kuwaonea watu huruma.
Tanzaniaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,mwanangu kuwa uyaone, by Roma mkatoliki 2013.
 
Kwa Mfanyabiashara Faida na Hasara ni vitu vya kawaida sana, sioni tatizo kama amepata faida au Hasara, Mfanyabiashara mkubwa kama yeye anatakiwa kupongezwa kwa kuthubutu, ndio inavyotakiwa hivyo, Hata hivyo kama Mwenyewe hajajitokeza na kutuomba tumchangie kutokana na hasara aliyoipata kwa nini tunapiga kelele? zaidi ya yote inaonekana ni Chuki binafsi tu.
 
Kwa Mfanyabiashara Faida na Hasara ni vitu vya kawaida sana, sioni tatizo kama amepata faida au Hasara, Mfanyabiashara mkubwa kama yeye anatakiwa kupongezwa kwa kuthubutu, ndio inavyotakiwa hivyo, Hata hivyo kama Mwenyewe hajajitokeza na kutuomba tumchangie kutokana na hasara aliyoipata kwa nini tunapiga kelele? zaidi ya yote inaonekana ni Chuki binafsi tu.

mkuu, kama hujawahi kuzisikia dhana za ANTIVIRUS v/s VINEGA, huwezi kujua kwa nini watu wanashangalia kupata hasara kwa mtu huyu na co. yake. Uliza wajuzi wa mambo wakubrief ndo ujue kwa nini watu wanafurahia.

Lakini pia, nimetoa taarifa juu ya kilichojiri Mwanza. Kutafuta fursa za pesa ndo udhulum watu wengine? nimejulisha kuwa waendesha daladala waliokodiwa kwa ajili ya kutumika katika ukataji wa tiketi, kwa makubaliano ya kulipwa 100,000/- mwisho wa siku clouds walitaka kuwalipa 60,000/- ikazuka fujo kubwa lakini uwepo wa polisi ulisaidia kuzuia fujo zile. sasa pesa gani unazitafuta kwa kuwaumiza wengine? eti umepata hasara, sasa mie hasara yako inanihusu nini?
 
nyanzalapy, engmtolera na chasuzy fuatilieni mjue chanzo cha dhana za ANT-VIRUS na VINEGA, na ushiriki wa clous fm na Ruge kama manager cluds ili ufaham kwa nini watu hawawakubali watu hawa.
 
Hiyo ni biashara...ina faida na Hasara...sioni shida.Japo siipendi Clauds...kama business professional naona ulichoandika ni Pumba tu.
mh ama kweli hii nchi imelaaniwa yaani watu wamedhulumiwa fedha zao unasema business ,alooo
 
Back
Top Bottom