tatizo liko hivi mkuu nsekwa, mwingine kweli alisoma labda akapata division 3 sasa anakwenda kuchongesha cheti cha kuonyesha ana division one ili aonekane ni kipanga, na siku ya uhakiki wa vyeti anaonyesha hicho cha kufoji badala ya kile cha kwake halali. Wengi wameingia kwenye mkenge kwa njia hiyo.Kweli ndugu, kuja jamaa nimesoma naye tangu O level mpaka chuo, naye jina lake lilitoka ana vyeti feki